Dah
kuna namna yani, majumba mengi ya matajiri ya aina hio yakuwaga haunted. Unaeza shangaa tu unakula makofi usiku hulali [emoji16]
Eeh lazma uchanganye akili, yani upewe nyumba kubwa na ndogo ya zawadi kwa 450M? Na kumbuka hapo huenda 100M kweny hio hela huenda ni dalali kajiongezea sifuri mbele.Inawezekana maana unakuta katika utafutaji wanafuga sana majini. Kuna kipindi nilisafiri kwenda marangu mbele kidogo tu ya daraja pale kama unaelekea hospitalini kuna nyumba nilioneshwa kama kighorofa fulani hivi inasemekana hakuna anaekaa humo ndani yeyote anaeingia humo anapigwa ngumi za mbavu usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nyumba hii jinsi ilivyo na eneo iliyopo napata mashaka sana kwa bei hiyo ya 450M ilitakiwa iwe juu kiasi....
Eeh lazma uchanganye akili, yani upewe nyumba kubwa na ndogo ya zawadi kwa 450M? Na kumbuka hapo huenda 100M kweny hio hela huenda ni dalali kajiongezea sifuri mbele.
Ndio zao hao, au we mgeni hapa mjini? Una xmas ngapi mjini?daahhh wew jamaaa..bei ndogo halafu pia dalali anakunja 100 duuuuuhhhh😀😀😀
JAMANI NAOMBA NIKAZIE HAPO..... MMILIKI WA HII NYUMBA NA NDIO ANAYEUZA NYUMBA YAKE..... NI MCHUNGAJI JAMNAI........HAYO MAKOFI NA MAJINI HAYANA NAFASI NDANI YA MYUMBA YA MCHUNGAJI..........
madingilai ndio yanakufa na vibinti 😀😀😀.. sie vijana hatufi kizembea
Usije ukaniulia kijana bana
Vyumba 2Na Nyumba ya nyongeza ndo ina vyumba vingapi
Mnununulie mtoto mzee baba... nasubiri bitcoin zangu hadi ifikie kwa bitcoin moja $ 100,000.. nimpe zawadi Bushmamy mjengo kama huu [emoji2][emoji2][emoji2]
hahhahhhahhahDume hilo mkuu,utashangazwa.
Nilishawahi kukupumulia kisogoni. Nini? Au umekariri maishaDume hilo mkuu,utashangazwa.
unavunga humjui ili nimtaje nipotezwe sio?Nani huyo mkuu anayetaka uishi kama shetani
Bei nzuri sana nahisi hata iko chini ya bei ya kujengea. Namshauri mwenye nia ya kununua aanzie kwa mwenyekiti wa mtaa kujiridhisha kama muuza ndiye mmiliki kweli, pili ajiridhishe hati haitakopea pesaApartment 4 zipo ndani ya eneo moja.
Kila apartment ina vyumba 2 kimoja master, jiko, sitting, dinning na public toilet.
Zinajitegemea kwa kila kitu umeme na maji na parking ya kutoshaa wapangaji wanalipa 300,000 kwa mwezi hapa una uhakika wa milioni 1 na laki 2 kila mwezi.
Nyumba zipo Ukonga madafu ..hazipo mbali na barabara kuu..ni umbali wa kutembea tu dakika 5 huhitaji bodaboda
Bei ya kuuzia ni milioni 120 (tsh 120,000,000/=) Tu
Mawasiliano 0677 818283
View attachment 1681723
Kama ana shida ya milioni hamsini jeNafirikiri aendelee kupangisha, bado siku kumi atachukua 1.2 m halafu atamaliza shida yake!