guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Iweke hapa hiyo clip wasije mataga wakabishaJengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.[emoji1752]wanaokopesha watumishi kwa riba bye bye
Lakini siyo CCM ya JPM labda ya kusadikika. Wananchi wanaangalia matokeo walichoshwa na story za kila mara ahadi tuuuuu, kingine akina Zitto Kabwe wanaenda kuhujumu Vyanzo vya Mapato ili kuihujumu Serikali iliyopo Madarakani eti wakitekeleza watapata sifa CCM mawazo ambayo ni ya kipumbafu,Mabadiliko ya kweli na maendeleo, tutayapata CCM ikishapigwa chini.
Anageuza wafanyakazi kuwa vibarua!!!Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Mabadiliko ya kweli na maendeleo, tutayapata CCM ikishapigwa chini.
Kwanza atasemaje?? Ataleta ajira, ataongeza mishahara? Anainua uchumi?? Nani atamwamini tena?
Acha kudanganya watu hapa Marekani kila mwezi inazalisha ajira zaidi ya 200,000 kila mwezi hyo ni sawa na ajira million moja na laki mbili kwa mwaka ukiangalia wasomi inaozalisha kwa mwaka ni kati ya 1.6 na 1.8 million kwa mwaka kama unajua hesabhu kidogo maana yake wasomi wa Marekani zaidi ya asilimia 75% wanaajiriwa , sasa hapa kwetu tunaajiri asilimia ngapi ya wahitimu wetu?.Hakuna serikali iliyoajiri wasomi wake duniani. Hata Marekani imeshindwa.
Serikali inatakiwa ijenge mazingira ya uwekezaji ili kuzalisha ajira ili hao wasomi wapate ajira popote.
Lisu atawaajiri madaktari na walimu wote nchini? Watafanya kazi gani?
Jiwe ajiandae kisaikolojia.. atafute kazi ingine tuuMgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
"Ongeza sauti baba" tumeteseka miaka mitano, tuliomba nyongeza ya mishahara anasema tusubiri Hadi amalize ujenzi wa miundombinu huku tukifa njaa,tukishindwa kusomesha watoto wetu,tukishindwa kujiendeleza kimasomo. Kipele kimepata mkunaji.ameua vyama vya wafanyakazi na havina sauti.Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Dogo, kwa akili yako ndogo huezi kuelewa.. tuliaKamanda mwambie atueleze vyanzo vya mapato vya kulipa mishahara dabo hahahaha
Kuwaongoza nyumbu ni jambo rahisi sana hahahahha
Yote utayasikia kampeni ikianza so wacha kiherehere.Badala ya kuelezea mipango yake kwamba hiyo pesa ataipata kutoka vyanzo vipi vya mapato, anaongelea kutumia!
Na nyinyi mnashangilia!
Kweli kuongoza chadema ni raha
Kwa hiyo huyo limbukeni wako alikuwa anazungumza na wanasoka sio?
Tatizo ni NECccmMgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
None..Kwanza atasemaje?? Ataleta ajira, ataongeza mishahara? Anainua uchumi?? Nani atamwamini tena?
Tatizo ni NECccm
Achana naye chizi baridi huyo.Acha kudanganya watu hapa Marekani kila mwezi inazalisha ajira zaidi ya 200,000 kila mwezi hyo ni sawa na ajira million moja na laki mbili kwa mwaka ukiangalia wasomi inaozalisha kwa mwaka ni kati ya 1.6 na 1.8 million kwa mwaka kama unajua hesabhu kidogo maana yake wasomi wa Marekani zaidi ya asilimia 75% wanaajiriwa , sasa hapa kwetu tunaajiri asilimia ngapi ya wahitimu wetu?.
Usisahau simu unayotumia ni ya beberu itupe kama vipi mnafiki wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu ajiandae tu kwenda kwa beberu wake amsterdam baada ya oktoba
Naongezea nyama aboreshe kilimo chenye tija alete vifaaa vya kisasa vya kilimo pembejeo ,mbolea ,wataalamu masoko yapo mbona raha naiona mwenzenu mimiHata kama hakuna ajira Serikali iwape mikopo yenye riba ndogo wale ambao watakuwa tayari kuungana ili kujiajiri kufanya shughuli mbali mbali za kimaendeleo.
Siyo tu kuwaambia graduates kutoka familia za kimaskini wajiajiri wakati hawana mtaji wa kujiajiri.