Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma


Nendeni mkale maganda ya malimau
 

Pia rais ni taasisi. Sasa mtu huko atoke anakotoka. Halafu aanze kusema rais ni muuaji. Hiyo inaleta taswira gani kwa wananchi kuhusu taasisi hiyo ya urais? Tundu lisu katukosea watanzania tulio wengi.
 
Basi tuseme wewe ndio ulitaka kumuua ili isiwe Matusi
 
Tundu Lissu sio mzima wa akili. Ni wa kuonea huruma na kupewa matibabu.
 
Ach
ACha uchochezi haukusaidii kitu
 
Sasa mtakanusha hadi lini? Magufuli alikuwa jambazi na mwuaji, period;

Hivi watu wangapi wanalalamikia mabaya waliyotendewa na huyo marehemu? mnataka hadi wakachimbue kaburi lake ndo mjue wana hasira?
 
Unaweza kumuua kichaa? Mbowe alivyosema alivamiwa kumbe mlevi tu ilikuwa sahihi? Kwanini Lissu hataki dereva wake ahojiwe? Ikitokea suala hili likaenda mahakamani atakataa asihojiwe? Kwanini?
Kazi mnayo. Vumilieni tu. Kosa kubwa lilofanyika ni kumshambulia na kumiss target.hilo kosa litawakost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…