Hahahahah hizo kende zenu subirini kiama chaja.Na nyie mtatiwa vijinga vya moto vinyeoni mwenu wapumbavu wakubwa nyie.
Ndgu angu yule masai c yule wa zamani.huyu amekuwa mhuharibifu ana mifugo mengi anakula wanyama pori.fikiri tufuge ngombe au wanyamaYaani masai ni uharibifu Ngorongoro lakini mwarabu ni mhifadhi ?!. Akili ndogo sana
Naikubali chadema tangu kitamboDaah nani kaiba ida yako mukuu
Sasa alichokisema TL wakati ule sindio kimetokea majuzi hukuona akina Prof Mruma wakisulubiwa na mabeberu kule Marekani, Tz inatakiwa kulipa zaidi ya bilioni 100 za kitanzania fidia ya kuvunja mkataba wa madini!!.Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Kwanza wale Jamaa walio uchi mule hawafugi wanaowinda tuu na pia hawana makazi kama hayo ya Masai huko,pia idadi Yao ni ndogo sana kuliko Maasai.Amazon ni urithi mkubwa wa dunia kwa nini hawawaondoshi kifala wakaazi wa mule ?
Karibu sana Mkuu.Naikubali chadema tangu kitambo
Niko hapa ninaangalia taarifa ya habari ITV, lakini ajabu taarifa nyeti kama hii hawaioneshiNachukua nafasi hii kutangaza kuwadharau watu wote walioshiriki kuhujumu Jambo Tv Online ili ishindwe kuripoti Mkutano Kabambe wa Tundu Ole Lissu alipowahutubia Wamasai, ambao ni wahanga wa kuhamishwa kwenye maeneo yao huko Ngorongoro
Laana ya milele iwaandame wao na vizazi vyao katika maisha yao yote yaliyosalia hapa duniani , Amina
Siasa hizi za kishamba zilizopitwa na Wakati , hazina nafasi tena kwenye nchi hii , tupingane kwa hoja .
Vyombo vya habari vya kibongo vimejaa uzushiNiko hapa ninaangalia taarifa ya habari ITV, lakini ajabu taarifa nyeti kama hii hawaioneshi
Ule uhuru wa habari wanaouhubiri uko wapi?!
Hata kama hajakuta mtu, cha muhimu amefika Ngorongoro πππ₯πNimeshangaa sana page ya watetezi tv imepost Tundu akiwa mkutanoni na wanchi tele
Huku kitenge tv imeweka eti jamaa amefika hajakuta mtu hata mmoja uwanjani
Huu ujinga tutaacha lini? Hizi njaa za vi online tv ni aibu sana
Wasafwa?Zaman nilijua wamasai ni watu hatari sana na washupavu. Ila hamna kabila waoga kama hawa jamaa. Kiukwelki hawa jamaa hawastahili tena kukaa mbugani. Zamani walikuwa hawali wanyama pori ila sasa sasa hivi hawana tofauti na wamakonde au wasafwa wa mbeya hadi mizoga wanakula.
Wakati sisi tunaminywa kende wewe unafanywaje.....Mtaminywa kende wote mnaopinga. Mkataba wa bandari tulishamaliza ni utekelezaji tu. Sema lingine. Dkt Samia Oyee
Wanalimit ndogo ? Dogo jinga kabisa unafahamu hata unacho andika.Kwanza wale Jamaa walio uchi mule hawafugi wanaowinda tuu na pia hawana makazi kama hayo ya Masai huko,pia idadi Yao ni ndogo sana kuliko Maasai.
Toka enzi ya Mwl.Maasai walipewa limit ya population na mda wa kuondoka,Kwa hiyo Lisu na nyie wapuuzi sijui hata mnatetea nini yaani kwamba waendelee kuharibu Hifadhi au?
Mwisho kuondoshwa kifala ndio kukoje? Tueleze hapa
Mabomu tu yamachozi raia wanakimbia unazan polisi wakiamua kuanza kutumia bunduki za risasi kuna mtu atasogea?Mwaka ujao wa uchaguzi utakuwa wa tofauti mura!! Hututakubali kutoka kituo cha kupiga kura hadi zihesabiwe na tutoke na matokeo ya kura zetu zote.
Unampa airtime kitenge na kumlinganisha na LISSU? Kweli? Yaan chawa wa mama unamlinganisha na LISSU? Haya saw siwez kukuvunjia heshima wee ni Mzee, ila ningekupa za uso hapa!!!Maulidi Kitenge wa Wasafi FM alipofanya Ziara Ngorongoro Wamasai walimshangilia sana
Leo Tundu Lisu kafanya Ziara Ngorongoro Wamasai wamemshangilia sana
Au ni Utamaduni wa Wamasai kushangilia wageni?
Mlale Unono!