As population keep on growing mazingira ya mbugani ambalo wamasai wanaishi na mifugo Yao watagharim future ya mbuga zetu na wanyama,labda kama hujafika maeneo hayo basi huwezi jua uhalisia uliopo
Unakula ukiwa unakata gogo?
 
Daaah! daaah! unamu-ovadozi kwa majibu yenye facts.
 
Usiunganishe nanmchi zingine za weusi ongelea TANZANIA sabahu huwezi kulinganisha watu wa kenya na wajinga wa Tanzania
 
Lisu anaamini katika miguvu na matusi, na Mbowe anaamini katika akili na maarifa.

Hizo ndio tofauti zao viongozi hao.
Tundu Lisu ana tabia ya ushari na malipizi abadilishe mbinu ana fail mno. Na amechangia kuua maridhiano CDM wawe makini naye sana.
 
Hatufiki popote kwa hili, kiwake nchi nzima hii haikubaliki,haikubaliki, haikubaliki
Haikubaliki wakati uko nyuma ya keebodi mbaya zaidi unatumia jina feki?. We jamaa ebu kuwa siriaz

Lisu anapita nchi nzima kukataa mkataba wa bandari na kuhamasish wengine wakati waarabu washaanza kufunga kamer zao pale. Mbaya Zaid waliomtuma walitaka kupiganiwa maslahi yao tu yeye kazigeuza kuwa sera za kuombea uraisi mwakani. Atakula ujinga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…