Tuwe makini na huyu mama.Nchi ipinduliwe kuna watu wameshindwa kuongoza na nchi inauzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe makini na huyu mama.Nchi ipinduliwe kuna watu wameshindwa kuongoza na nchi inauzwa
Mbuga zetu au za Waarabu?As population keep on growing mazingira ya mbugani ambalo wamasai wanaishi na mifugo Yao watagharim future ya mbuga zetu na wanyama,labda kama hujafika maeneo hayo basi huwezi jua uhalisia uliopo
Sijui umetokea wapi wewe.Serikali ipo sahihi kabisa katika Hilo suala la kuwahamisha maasai hapo ngorongoro ila chadema wanataka kutumia suala Hilo kisiasa baada ya kufeli katika ishu ya DP World na bandari
Acha uongo.Tundu Lisu ana tabia ya ushari na malipizi abadilishe mbinu ana fail mno. Na amechangia kuua maridhiano CDM wawe makini naye sana.
Balozi wa Marekani kasemaje kuhusu hali ya demokrasia nchini?Kamtukana kiongozi gani?
Wewe unategemea Faizafoxy atakuwa hajawahi kuchokonolewa na madaktari wakristo ambao kila mara huonesha chuki kwao?Shehe Mwaipopo: Wake zetu Wanatibiwa na akina Dr John, Dr James, Dr Peter kwenye kachumba huku sisi tukisubiria kwenye mabenchi na tasbib ndefu mkononi
Shehe Mwaipopo bana Utani kama Ukweli
Kasema Wananchi wanahaki ya kuhoji.Balozi wa Marekani kasemaje kuhusu hali ya demokrasia nchini?
Yaani wewe kibwengo maji unaongea nini? DP World ashinde nani huyo Bibi yenu? Ngedere hawana lolote lile
Na wewe ni Mwanasheria pia.... kwa nini usi-file for "public interest purposes" ndugu yangu?Duh...!. It's high time Chadema wajifunze kutumia the legal remedies prescribed kwenye sheria zetu, wa file kitu kinachoitwa Habeas corpus
P
Mbowe na mnyika wako smart wachaga wale,hawako Frontline siku zote,ni watu flan wanaopenda kuwachuza wenzaoAcheni kucheza na akili za Watanzania. Kwa nini Mnyika na Mbowe hawajakamatwa??? Hii mikutano si walikuwa wakiongozana na Lissu.
Ameambiwa asiende Ngorongoro na mamlaka husika.Wapi TL Amewaambia maasai wagome kutoka hifadhini kwa kupigana vita? Nilimsikiliza anatoa solution ya kuondoa unyanyasaji (according to him) ni kuwakataa CCM kuanzia uchaguzi mwakani wa wenyeviti kisha uchaguzi mkuu 2025 sasa hapo amepigana vipi na maagizo ya Serikali.
Mbowe na mnyika wako smart wachaga wale,hawako Frontline siku zote,ni watu flan wanaopenda kuwachuza wenzao
Hili jina lako linatakiwa litamkwe MACHIKIRA.
Unabichwa kama nyumbu huyo Dr kibwengo au Dr uchwara, Bibi ni bibi tuSasa unadhannnani kashinda katika suala Hilo?unadhan unaweza shindana na serikali smart kama hii inayoongozwa na Malkia Bilkis,Quen of shebah Dr Samia?
Msenge sana Mbowe😅Mbowe mjanja sana, nina imani yeye hakutia pua yake kwenye mkutano usiokuwa na vibali.
Unabichwa kama nyumbu huyo Dr kibwengo au Dr uchwara, Bibi ni bibi tu
Wamasai wanamiliki 'Ngombe wengi huko Kenya alafu hao wamasai ndiyo wenye mifugo mingi kwenye Taifa lenye n'gombe wengi hapa Afrika mashariki na kati wakiwa Tanzania. Hivi hizi ni akili kweli? Mtu anasema eti mbona hifadhi za Kenya awaondolewi? Hivi wanachofanya Kenya ni lazma nasi tufanye hivyo? Hizo Mbuga za Kenya zinayo hadhi kama ya Ngorongoro au na ili mpaka turudi darasani?Kila wakati huwa nasema ni vyema kuficha ujinga( sio tusi) ili kutokujua kwako wasije wanao wakasoma hizi comments baadae wakaona mshua wao chenga...
Sasa nilipost Ramani kwenye post za nyuma kidogo kukuonyesha Hifadhi zilizopo au zilizo na wamasai zilizopo Kenya ila kwakuwa lengo lilikuwa ni kuja kuAttack na sio kupta knowledge hukuziona sasa nakupa tena kwa majina Hifadhi za Taifa zilizo na wamasai kenya....
Kwanza naomba kumake Kwanza correction...
Idadi ya Wamasai wa Kenya ilihesabiwa kuwa 1,189,522 katika sensa ya mwaka 2019 na sio 500,000 kama nilivyosema.... Hilo ni eneo la masai na eneo lote ni eneo la hifadhi kwa Tanzania na kwa Kenya....
Nimeshangaa sana kutokujua kuwa wakenya nao wanaishi kwenye hifadhi na hii ni iliteracy ya hali ya juu sana...Sasa nakusaidia chache....
View attachment 2745136
- Hifadhi ya Taifa ya Amboseli
- Hifadhi ya Taifa ya Ol Donyo Sabuk
- Hifadhi ya Taifa ya Sibiloi
- Hifadhi ya Taifa ya Mlima Longonot
- Hifadhi ya Taifa ya Mlima Elgon
- Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara
Wamasai wa kenya ndo wanaMiliki Ngombe na mifugo wengi sana kuliko Tanzania fanya Research....
Hii ndo Ramani Ya Kenya Isome mkuu usiongee kitu usichojua....
View attachment 2745151
Huyo Bibi yenu mwisho 2025, CCM hatuweki candidate wa kibahati bahati awamu hii huo ujinga haupo tenaToo bad, she's your prezoo...and God bless her tunae hadi 2030 kwa mapenzi yake, kubaliana na hii hali