kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wacheni unafiki lissu mnamdhihaki!Bado hamjasema mpaka mseme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacheni unafiki lissu mnamdhihaki!Bado hamjasema mpaka mseme.
Kwa usalama wake anatakiwa aisitoke humo, maana anasakwa na watekaji wanaotaka kumtisha ili ukweli usitoke hadharani.Mnyika kajifungia kanisani nae ni mmoja wa madhwalimu!
Haya Mambo yalikuwepo Toka enzi za Yesu! Wakati anaponya viwete wao watetea Sabato!Waovu wengi huwa wanajificha kwenye dini ili kuhadaa watu kuwa wao ni watu wema. Mfano dhalimu magu alikuwa anajifanya mtu mnyoofu sana akiingia kanisani ili kuhadaa watu kuwa ni mcha Mungu.
Kwakweli mna unafiki kiwango cha lami hamumpendi huyo lissu!Kwa usalama wake anatakiwa aisitoke humo, maana anasakwa na watekaji wanaotaka kumtisha ili ukweli usitoke hadharani.
Toa unafiki wako kujifanya una uchungu nenda kajifungue!
Ingekuwa limwkutokea wewe ungekijiskiaje?Bado ana weweseka!
Historia lazima ifundishwe ili hata watoto wetu wajue kulikuwa na muuaji na mkoloni mweusi sio kuwakaririsha wakoloni weupe pekee.Kwa hiyo tumsaidie nini?
Hii story ishatuchosha inabidi aambiwe watanzania do not care atafute ajenda ya namna gani ataleta maendeleo
Kitu anacho ficha lissu ni kwanini alitaka kuuliwa alikuwa amefanya nini ? Ukweli ni kwamba Lissu anajua ukweli wote kwanini alitakiwa kuuliwa alifanya ufisadi gani kwa kutumiwa na mafisadi wanaojifanya wawekezaji kwenye rasilimali zetu"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu
"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
View attachment 3106488
Wote hao walihusika:-Huyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
Utakwenda kwa style mbaya kweli☹️Bado ana weweseka!
Ben Saanane, Mawazo, wale wa kwenye viroba, nk walifanya ufisadi gani?Kitu anacho ficha lissu ni kwanini alitaka kuuliwa alikuwa amefanya nini ? Ukweli ni kwamba Lissu anajua ukweli wote kwanini alitakiwa kuuliwa alifanya ufisadi gani kwa kutumiwa na mafisadi wanaojifanya wawekezaji kwenye rasilimali zetu
Wauaji wanatabia ya kuongea yasiyoeleweka maana roho za marehemu huwa zinawasumbua. Bado utaweweseka sana.Bado ana weweseka!
Kwa huo ufisadi aliofanya na hao wawekezaji asingefunguliwa mashtaka mahakamani na serikali ili makosa yake yathibitike kisheria badala ya kuuawa?Kitu anacho ficha lissu ni kwanini alitaka kuuliwa alikuwa amefanya nini ? Ukweli ni kwamba Lissu anajua ukweli wote kwanini alitakiwa kuuliwa alifanya ufisadi gani kwa kutumiwa na mafisadi wanaojifanya wawekezaji kwenye rasilimali zetu
Acha masihara basi 😀😀Kitu anacho ficha lissu ni kwanini alitaka kuuliwa alikuwa amefanya nini ? Ukweli ni kwamba Lissu anajua ukweli wote kwanini alitakiwa kuuliwa alifanya ufisadi gani kwa kutumiwa na mafisadi wanaojifanya wawekezaji kwenye rasilimali zetu
Chadema akili hamna kama wewe unaweza kubishana hata na lissu pale atakapo sema ukweli ? Mbona lissu anajipendekeza kutaka kwenda kwenye kaburi la jpm kuhiji ....ulishajiuliza way? Lissu anaujua ukweli wote juu ya kupigwa kwake risasi.Acha masihara basi 😀😀
Either hili jambo limekuzidi kimo au unajifyatua akili.
Sawa.Chadema akili hamna kama wewe unaweza kubishana hata na lissu pale atakapo sema ukweli ? Mbona lissu anajipendekeza kutaka kwenda kwenye kaburi la jpm kuhiji ....ulishajiuliza way? Lissu anaujua ukweli wote juu ya kupigwa kwake risasi.