Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Lisemwalo lipo! Kama Makonda ana ujasiri akamfungulie mashitaka Lissu aende athibitishe kama yeye ndiye aliyehusika katika jaribio la kumwua!
Otherwise Silence means...!
 
Toa unafiki wako kujifanya una uchungu nenda kajifungue!
images (7).jpeg
 
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu

"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam

View attachment 3106488
Kitu anacho ficha lissu ni kwanini alitaka kuuliwa alikuwa amefanya nini ? Ukweli ni kwamba Lissu anajua ukweli wote kwanini alitakiwa kuuliwa alifanya ufisadi gani kwa kutumiwa na mafisadi wanaojifanya wawekezaji kwenye rasilimali zetu
 
Ben Saanane, Mawazo, wale wa kwenye viroba, nk walifanya ufisadi gani?

Mbona hamuuwi mafisadi wanaotajwa na CAG kila mwaka?!

Na je, hawa mafisadi wanaogawa raslimali za Tanganyika kwa Waarabu mbona hujawaua?!
 
Kitu anacho ficha lissu ni kwanini alitaka kuuliwa alikuwa amefanya nini ? Ukweli ni kwamba Lissu anajua ukweli wote kwanini alitakiwa kuuliwa alifanya ufisadi gani kwa kutumiwa na mafisadi wanaojifanya wawekezaji kwenye rasilimali zetu
Kwa huo ufisadi aliofanya na hao wawekezaji asingefunguliwa mashtaka mahakamani na serikali ili makosa yake yathibitike kisheria badala ya kuuawa?
 
Kitu anacho ficha lissu ni kwanini alitaka kuuliwa alikuwa amefanya nini ? Ukweli ni kwamba Lissu anajua ukweli wote kwanini alitakiwa kuuliwa alifanya ufisadi gani kwa kutumiwa na mafisadi wanaojifanya wawekezaji kwenye rasilimali zetu
Acha masihara basi 😀😀

Either hili jambo limekuzidi kimo au unajifyatua akili.
 
Chadema akili hamna kama wewe unaweza kubishana hata na lissu pale atakapo sema ukweli ? Mbona lissu anajipendekeza kutaka kwenda kwenye kaburi la jpm kuhiji ....ulishajiuliza way? Lissu anaujua ukweli wote juu ya kupigwa kwake risasi.
 
Back
Top Bottom