SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
Nikuulize wewe MkuuKuidharau mahakama kwa kiingereza ndiyo "contempt of court"? Ili mtu aonekane ameidharau mahakama Sheria inasema inatakiwa awe amefanya nini?
mimi sio kamusi ya mahakama, kama Laigwanaan amesema hana Imani mimi nawezaje kujua sababu zake?Kwa mfano mtu anaposema kuwa hana Imani na Hakimu/Jaji anakuwa kaidharau mahakama?
Lisu hajazuia watanzania wasifuatilie kesi yake mtandaoni.Kisa lissu nimekua mpumbavu!?.. mpumbavu lissu asiyetaka tufuatilie kesi yake mtandaoni
Sasa hiyo akiki yako matope ndio ilipoishia kufikiri? Kwanini hamkumpeleka mahakamani ili kesi iwepo wazi ili ujulikane ujinga wenu huko mahakamani. Yote nikuogopa. Kwani kuna tatizo linalopelekea kutokupelekwa mahakamani?arudishwe korokoroni mpaka wakati mwingine,
siku zote analilia tektonolojia na uwazi kwenye chaguzi na mengineyo, leo ng'we ng'we hataki teknolojia tena, huyo ni useless and nonsense kabisa
He is Blessed ManLissu mtaalamu sana wa hizi kazi aiseeπ€£
Hakika hiki ndicho dunia ilikuwa inataka kuona. Mbona wanataka kujificha? Wanataka kuficha nini? Twende Mahakamani tuonane live.Lisu hajazuia watanzania wasifuatilie kesi yake mtandaoni.
Yeye anataka afikikishwe mahakamani physically na kesi yake iwe ya wazi baada ya hapo itakuwa ni uamuzi wa mahakama kesi yake irushwe YouTube au TBC.
Mungu alivyo fundi unaweza kukuta anaondoka anamuacha Lissu anadundaHuyu Maza ... Anaanzisha mambo ambayo hawezi kuyamudu. Anajidanganya kama anafikiri ataweza kufanya kama Magufuli.
Magufuli was a different character.
Haya.Waliomuweka ndani, ndio waliopelekea kupata vyuma mwilini, hivyo kama ni maumivu kwao ni jambo la furaha. Ni kweli, kinadharia mahakama ina uhuru wake, lakini kiuhalisia inatekeleza hujuma za serekali.
This is most likelyMungu alivyo fundi unaweza kukuta anaondoka anamuacha Lissu anadunda
Yaani hapo kwa ukilaza wa huyo jamaa, hilo swali ni sawa na kutaka ngamia apenye kwenye tundu la sindano!"wananchi should be royal to the government"
"wananchi should be royal to the JUST government"
...ainisha utofauti wa hizi sentensi mbili. Ujinga hautafutwi bali tunatafuta elimu/uelewa
Kufunga ni kazi ya hakimu, anaweza kumlamba akatokee mbele huko mwezi DisembaLissu atatoka acha kupoteza mda kama zombie hakuna kesi ya kumfunga Lissu
anapigania hoja yake hashindani na serikali , kwa uhalisia hawezi kushindana na serikali yeye ni nani sasa, mtu anaye dai haki yake huwa yuko tayari kufa muda wowote, haijalishi utamwonaje utaongeaje, na ukijiruhusu kuskia au akueleze hisia zake na wewe una feel the same , utakuwa humwelewi kwa sababu hauhisi anavyo hisi yeye.anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Hawa CCM huu mwaka wanalo! Ujinga ujinga na ujanja ujanja wa kutumia polisi una mwisho!He is Blessed Man
Naam na hata lissu anaweza akaanza vilevile, kuwahi kufa sio lazima uwe mtu mbaya π€£Mungu alivyo fundi unaweza kukuta anaondoka anamuacha Lissu anadunda
Hii kesi hadi waiteme wenyeweHawa CCM huu mwaka wanalo! Ujinga ujinga na ujanja ujanja wa kutumia polisi una mwisho!
Endelea kusubiri.....Lissu hafi leo wala kesho. Note my wordsNaam na hata lissu anaweza akaanza vilevile, kuwahi kufa sio lazima uwe mtu mbaya π€£
Malaya wa kitaa πππAlalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Nenda kaiwashe mzee, keshagoma hata hivyo watatumia wengine, kama mlidhani uwezo wa mwalimu Lissu ni kama wa maafisa chawa na makada, mmejichanganya sana, mama yenu anajua tangu bunge la katiba wajumbe walivyokuwa kimya wakipata somo mara tu anaposimama! Alimuita simba kwa hiyari yake mwenyewe.huenda mgeni wa technologia ndie pekee hajui changamoto za technolojia,
huenda pia hafatilii kesi za mahakama ya ICC na mambo mengine mathalani hata uapishao wa Trump nini kilitokea kuhusu technolojia,
hata hivyo,
kesi zoto nchini zinaendeshwa kwa technolojia na hii sio ya kwanza.
basi wacha tusubiri hizo siku 30 zijazo tutamsikiliza huko huko mahabusu,
na sasa arudishwe korokoroni
Unapataje muda wa kuelimisha zwazwa na kilaza pro kama huyo!!??Nazungumzia teknolojia siyo majina ππ
Aisee!!Nikuulize wewe Mkuu
punguza mihemko muerevu wacha kujipiga kifua with nonsense point,Sasa hiyo akiki yako matope ndio ilipoishia kufikiri? Kwanini hamkumpeleka mahakamani ili kesi iwepo wazi ili ujulikane ujinga wenu huko mahakamani. Yote nikuogopa. Kwani kuna tatizo linalopelekea kutokupelekwa mahakamani?