serikali ambayo imewahi kuushinda umma!!anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Upo kisutu ya nyuma ya keyboardmbona tupo wengi tuu kisutu
UMOJA WA KITAIFA NA MTU AMABYE HATASHIRIKI UCHAGUZI MNATUFANYA WATANZANIA WOT EMABOYA SIYO?CCM watake wasitake after October 28, November lazima kuwe na serikali ya umoja wa kitaifa 😁😁😁.
Mkuu, kwan ukienda uwanjani unataka kuangalia nn na kwenye tv wanaonyesha nn?Nyie watu mkoje. Unataka kusema kuangalia Mpira uwanjani na kuangalia kwenye TV ni sawa?
Mpira wa kuangalia kwenye TV anayedhibiti mtazamani aone nini ni muonyeshaji wakati uwanjani ni mtazamani ndiye anayeamua aangalie nini.
Ukisema "Visual Court" ni sawa na mahakama ya kawaida Sasa Kwa nini majina hayafanani?
zingatia kifungu d na itakusaidia sana gentleman,View attachment 3313981
Hivyo vifungu visome usijifanye mjinga kwa kufuata mihemko ya kiccm. Kuna sheria zake zinaoztaka kesi zisikilizwe kwa njia ya mtandao nasio hayo maujinga yenu mnayomezeshana huko lumumba kisa buku 5 ya kununulia bando.
kakonda wiki tu, unataka afie jela? wamwachie tu hana madharaWala hajali, hata ingekuwa miaka 14, atalala kwa ajili ya mabadiliko. Ww hutakiwi kuja, sisi ambao chakula kwetu sio issue tupo hapa.
Sasa gambo na Mh lissu wapi na wap mbingu na ardhi kabisaGambo na yeye alikua akisema hivyo hivyo, lkn hivi sassa anaomba msamaha hata kuku
Nakwambia hivyo usitumie vutu kufikiria badala ya akili. Kama hujui neno vutu uliza utaambiwa maana yake.zingatia kifungu d na itakusaidia sana gentleman,
huenda hicho ndicho hasa kimemchanganya wakili
Na asubiri aone elimination method itakavyofanya kaziTulimwambia Magufuli usitumie nguvu kupambana na Lissu utaaibika akagoma matokeo yake yote tunayajua.
Tumemwambia Samia usitumie nguvu kupambana na Lissu utaaibika kawasikiliza wajinga matokeo yake ndo haya.
Kwa kuwa Mtuhumiwa lazima apewe haki zake kisheria, matokeo ya hili ni kwamba Mahakama ni lazima impe Lissu haki yake ya kusikilizwa Mahakamani.
Akili ni nywele na ubaya ni kwamba CCM, TISS na Polisi hawana hizo nywele.
Huo ni mtazamo hafifu na ndio unatudunisha waafrika hatuhoji mambo ya msingi kwa sababu huwezi shindana na serikali? Mara ngapi maafisa wa serikali wamefanya mambo yanayoleta hasara.Tusimamie sheria.Tunatunga sheria wenyewe halafu hatutaki kuzifuataanajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Kuliko anenepee uraiani kusiko na haki, ni bora akondee jela kwa kutetea hoja yake.kakonda wiki tu, unataka afie jela? wamwachie tu hana madhara
Kweli wewe PUNGA! Asiyetaka uwazi ni nani!?Sasa Lisu anagoma nini kuendeshwa kwa uwazi Tanzania wakati huo huo hupongeza kenya kuendesha kesi kwa uwazi
Kwa nini atake kesi yake isiendeshwe kwa uwazi?
Teknolojia iko juu mno sasa hivi waweza kuwa popite hospitali ,mahabusu ,mawakili wako Ulaya ,jaji yuko Marekani mahakama ikaendeshwa bila shidaNdio, lakini lazima awe mahakamani live. Mitandao ya bungu ni magumashi matupu.
Online ama wapi?Kuna mabalozi wangapi?
gentleman,Nakwambia hivyo usitumie vutu kufikiria badala ya akili. Kama hujui neno vutu uliza utaambiwa maana yake.
Wewe Lisu wakoKweli wewe PUNGA! Asiyetaka uwazi ni nani!?