Wewe ni muumini wa "Lugha za Staha", a.k.a "ULAGHAI"?Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Washauri wamuachie!Good to have seen it. Anaenekana kama mropokaji flani hivi anayetaka kuona watu wanamuona kuwa anajiamini sana. Kuna mentality za utoto utoto mwingi sana. Au alikuwa anataka kuona kama Askari wata react wakati anaropoka ili fujo ianze na kuwe na headline kwenye magazeti. Very professional askari wamebaki kimya kabisa wakimsaidia kubeba mpaka begi lake la vitabu.
Dawa za watu sampuli hii ni kutokuwapa attention tu kama kile kipindi walichotangaza maandamano ncho nzima.
Ahsante mkuu!Matendo ya Mitume 5: 38
Uone aibu wewe amekuwa mumeo.?Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Hili unalo omba wewe, sijui itabidi umchukue, umuumbe upya!Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Pole umeandika kwa uchungu sana na imekuuma sana kumuona Lissu anavyovinjari mahakamani akiwa hana chembe ya wasiwasi na huku serikali ikiwa imepigwa na baridi tena yabisi. Huyo ndo Lissu, na hawezi badilika hakuna anayeweza mnyamazisha huyo jamaa, Mkapa anamjua Lissu nani, Kikwete anajua habari zake, Mwenda zake alijaribu kumtoa uhai akatolewa yeye uhai now yupo kuzimu.Good to have seen it. Anaenekana kama mropokaji flani hivi anayetaka kuona watu wanamuona kuwa anajiamini sana. Kuna mentality za utoto utoto mwingi sana. Au alikuwa anataka kuona kama Askari wata react wakati anaropoka ili fujo ianze na kuwe na headline kwenye magazeti. Very professional askari wamebaki kimya kabisa wakimsaidia kubeba mpaka begi lake la vitabu.
Dawa za watu sampuli hii ni kutokuwapa attention tu kama kile kipindi walichotangaza maandamano ncho nzima.
Ungekuwa na roho, ungekuwa kama Warioba na Butiku,Hilo lako ni Pepo mahaba!kutukana mtumishi wa Mungu ni laana, jihadhari sana na hilo.
hata hivyo,
kuwaza kutukana ndio hasa kutukana kwenyewe huko katika ulimwengu wa roho 🐒
Kweli mkuu 🤝Tunapoteza rasilimali nyingi, tunaharibu taswira ya nchi yetu kwa ajili ya kudeal na kesi ya kawaida kabisa ambayo tumeamua kuifanya kuwa kubwa tu bila kujali image yetu.
Sijui kama tunafikiria sawa sawa kama tunafikiria sawa sawa basi tumeamua kuharibu jina la zuri la Tanzania kwa maslahi binafsi.
Sikutegemea kama siku moja tutakuwa level moja na nchi za Uganda,Rwanda,Burundi, Sudan maana Tanzania imekuwa kisima cha ukombozi daima leo watu watakuja kujifunza namna magomvi, crashing, excessive use of force.
Tujisahihishe kabla hatujaharibu jina letu zaidi.
Kinachofanya pilipili kutokuwa sawa na sukari ni ukali wake, kinanchomfanya Lissu kuwa Lissu ni hivyo alivyo. Lissu ni package na hiyo jazba ni sehemu ya package kumbuka unazungumzia mtu aliyenusurika kuuwawa na mfumo kwa mateso makali, unazungumzia mtu anayeteswa kwa kupigwa na mfumo, unazungumzia mtu aliyepewa ulemavu na mfumo, unazungumzia mtu ambaye watoto na mke wake imebidi waishi ughaibuni kwa sababu ya mfumo halafu unategemea mtu huyo asiwe na jazba? .Mh Lissu akipunguza jazba na misimamo mikali angeweza kuja kuwa mwanasiasa makini sana in East and Southern Africa Region
mimi hadi na bubujikwa na machozi kumzidi yule chawa wa mamaMoyo wangu umefurhi sana kumuona lisu
Wamuachie tuuSahihi mkuu.
Umelowa Kwa machozi ya furaha!mimi hadi na bubujikwa na machozi kumzidi yule chawa wa mama
umeungana na mwenzio kutafuata laana kwa kudhihaki watumishi wa MunguUngekuwa na roho, ungekuwa kama Warioba na Butiku,Hilo lako ni Pepo mahaba!
Wewe unafanya nini hapo mahakamani wakati wenzako wanajaza fomu za uanachama kule Chauma tayari kula pesa za mama Abdul. Hapo sio mahali pako nenda kule chauma ukale ubwabwa wa Rungwe.Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Walibugia mabumunda siku kumi, Afya mlima!Mungu hana mpinzani,hata Shetani huamini na kutetemeka!Afu hata hakondi wala hana huzuni namfananisha na Nabii Daniel kupewa majaribu na mfalme na utawala wake na aloshinda kila kikwazo Kwa kishindo! asomaye biblia na afahamu!
Utakuwa Tomaso bandia,we ni mgeni nchi hii!Huoni ulivyo kinyume na mada!Angelia changizo la Mzalendo,TAL,hata Magereza wanakenua!Ficha aibu Yako!umeungana na mwenzio kutafuata laana kwa kudhihaki watumishi wa Mungu
Unaumwa kideri?!!!!!mtu aliyecgannyikiwa unaita ameingia ikibabe? We ni mweupe huwezi kusoma ht saikolojia ya mtu. Huyo kibaraka wenu alipanic, nani ameyataka mwenyewe km siyo kupanic. Anayeshinda naye ni nani< serikali? We kwa upumbavu wako unaamini kabisa ataishinda serikali ya Tanzania? We hii nchi huijui, huyo mwisho wake umekaribia hawezi kufanikisha lolote kea hiyo style ya kishamba.