Bila shaka yoyote mchongo ndio ulivyokuwa umepangwa.Nadhani ili kusiwe na mizengwe na fomu za mapingamizi ziweze kufika salama ilitakiwa hii taarifa itolewe wakati Mheshimiwa Lissu akiwa ameshafika yupo ndani ofisi za tume.
Maelekezo hayachelewi kutolewa kwa wale vijana servicemen wa jkt pale getini wakiwa na incharge wao corporal wa Jw wamzuie mheshimiwa mpaka ikifika saa16:00 ndo wawaruhusu kuingia halafu wakishaingia wakaambiwe ndani muda umeisha wa kuweka mapingamizi
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Lissu tayari amemaliza kuwasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wengine, sasa yupo njiani kwenda ofisi ndogo ya Makao Makuu Kanda ya Kati, kuzungumza na waandishi wa habari saa 11 jioni hii.
Mpaka inafika saa 10: 05 Mhe. Tundu Lissu alikuwa hajawekewa mapingamizi yoyote. Lissu amewasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wawili, Mosi mgombea kupitia chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli na pili Mgombea kupitia chama cha CUF Ibrahim Lipumba.
#NoLissuNoElection View attachment 1548779
Hili vibe la mwaka huu raha sanaTaarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Uchaguzi House) jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urais wa JMT, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema, Kanda ya Kati, jijini Dodoma.
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Agosti 26, 2020
====
Tundu Lissu amewawekea Pingamizi Wagombea Wawili wa Urais. Amewawekea pingamizi Ibrahim Lipumba wa chama cha CUF na Dr. John Magufuli wa chama cha CCM.
Hadi muda unaisha, hakuna aliyemuwekea Pingamizi Tundu Lissu. Hivyo kaondoka na kuelekea Ofisi za CHADEMA za Kanda kuongea na Wanahabari.
Zaidi, soma:
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM
Uchaguzi 2020 - Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA
View attachment 1548762View attachment 1548764
Unapokuwa tofauti na wenzako ni ishara pia unaweza kuwa upo ahead na uwezo mkubwa kuliko wao.Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
Wewe unaweza kuona Lissu anatumia haki zake lakini tatizo hapo kama unaelewa βpsychologyβ ya impact za kukutana na βlife changing eventsβ kama tukio la Lissu side effects ni rebellion na kutokukubali ukweli.
Lissu anatakiwa akubali Magufuli ni raisi wa Tanzania na ana nguvu kubwa kutokana katiba yetu. Kwenda kutembea na ma body guards wanakimbiza gari yake kama na yeye mtu muhimu akumuweki on equal na raisi wa Tanzania.
Kukataa hadharani hakuna kitu Magufuli amefanya hayo mambo yamefanywa na wakoloni ya kujenga miundombinu etc.
Kudhamiria kushinda uchaguzi kwa sababu ya kumshinda Magufuli ukisikiliza speech zake badala ya kwenda kuwatumikia watanzania.
Barua zake za ovyo zenye empty threats na dilusions za international community nyuma yake kwenye uchaguzi.
Ushahidi ni mwingi mpaka sasa serikali inafanya kazi ya βbaby sittingβ tu amalizane na emotional issues zake; hila he is becoming erratic as days go anahitaji intervention huyo mtu kumsaidia kimawazo.
πππππππNimeelewa plan ya Lissu, kwamba kwa vile hakuna uwezekano wa Rais kuondolewa sababu ya pingamizi, basi na wengine wote watakaowekewa pingamizi watapona kwa mgongo huo.
Chenge hajawahi kuwa kiboko ya lissu katika Sheria sema Wana weledi mkubwa unaokaribia katika SheriaSasa hapa CCM itabidi wamuite Mtemi Chenge. Maana la sivyo wale vilaza wakiongonzwa na mwenyekiti wao watachanganyikiwa. Chenge pekee ndo kiboko ya Lissu.
Uongozi ni kubalansisha mambo. Kama baba unaacha za kula za kutosha nyumbani watoto washibe na zingine unajengea, simple economics!Hata Mimi nikiwa Rais naweza Jenga sgr sio kazi ngumu .
Hata presidential decree unajenga unakaba huku na unakaba kule reli hio hapo .
Watu wanataka mkate wa kula njaa zinauma ndio hao wako nyuma ya lissu
Ahahaha, mtawaua CCM kwa preshaaaWewe jamaa nikikuita Ngumbaru nitakua sijakosea. Nani kakwambia Lissu anapambana na mkuu wa Nchi? .
Lissu hapambani na Mkuu wa Nchi bali mgombea wa CCM
Anajua fika anachofanyaJamaa anatembea na misafara ya kihuni, utafikiri km sio rahisi mtarajiwa
Siku tatu zauhakiki wa fomu mtu katokea siku ya kukusanya fomu zikiwa hazija hakikiwa moja kwa moja ni luck of seriousness
Lissu haoni ndani kwa Mtemi Chenge.Chenge hajawahi kuwa kiboko ya lissu katika Sheria sema Wana weledi mkubwa unaokaribia katika Sheria
Namueheshimu sana chenge katika Sheria .
mbona hukusema kwenye utofauti wa kula mahindi barabara! Awamu ya kwanza, pili, tatu na nne hawakufanya hivyo. Co kila utofauti ni mbaya kuna utofauti mzuriWatu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
Iko verified that's why haijafutwa na hii ni matokeo ya kilio cha wengi kuyaka CHADEMA ijitanue mitandaoniInabidi BAVICHA TAIFA mfanye verification ya hii account yenu humu JF.