Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Wewe ndio hujitambui, wala huelewi sheria. Zawadi yako hii => 🖕 🖕 🖕
Hiyo zawadi mbona mgombea wenu Low IQ alishawapa zamani sana, keshauwa chama huku mkichekelea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio hujitambui, wala huelewi sheria. Zawadi yako hii => 🖕 🖕 🖕
Magufuli ni kaimu Rais kwa sasa hata Ule ulinzi wake unapaswa kupunguzwa kuendelea kuwa na walinzi kibao ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodiRaisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
Lissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges.
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa.
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
Akili yake mbovu hajui kupambanua Mambo huyo. Lissu anafuata Sheria ya uchaguzi.Wewe jamaa nikikuita Ngumbaru nitakua sijakosea. Nani kakwambia Lissu anapambana na mkuu wa Nchi? .
Lissu hapambani na Mkuu wa Nchi bali mgombea wa CCM
Mkuy,vipi NEC wamepindua meza?Naona ile furaha ya wabunge wakuteuliwa kina nape na majaliwa imekutoka hafla
Haswaa. bao la kisigino.BAVICHA TAIFA,
Yaonekana pana mtu alikuwa kapanga kufika tume kimya kimya mida ya 16:00 na mapingamizi lukuki.
Kutoa ngoma droo, ilipaswa kwenda mwendo huo huo wa kimya kimya na mida pendwa ya16:00.
Suluhu twende tu kwa wananchi.
Tukubaliane tu bandugu mizengwe sasa, - basi.
Kwahiyo mchezo unajirudia mheshimiwa?Mwaka 2010 wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu, CCM ilikuwa tuondolewe kwenye uchaguzi baada aliyekuwa Katibu mkuu wetu kubugi step na kuonyesha kwa waandishi wa habari barua ambayo tume ilivikutanisha vyama vya CDM na CCM kujadili jambo ambalo CDM walililalamikia na baada ya mkutano huo kuna barua ambayo Tume liviandikia vyama hivyo.
CCM walipofuatwa kuulizwa Katibu mkuu akawaonyesha waandishi barua iliyoandikwa "SIRI", walipofuatwa CDM hawakutoa hiyo barua wala kuingelea lolote lililokuwemo mule, Mnyika ndiye aliyekua kaimu katibu mkuu wakati ule.
Ila kilichokuwepo under the carpet CCM ilikua imetengenezeana zengwe la kuondoana sababu ya Mwenyekiti wetu.
Ila sakata lile lilimalizwa kimya kimya na CDM wakatulia
Boniface Jacob!Kama nani kapeleka kimya kimya?
HeheheJibu kavu hili[emoji38][emoji38]
Magufuli ni kaimu Rais kwa sasa hata Ule ulinzi wake unapaswa kupunguzwa kuendelea kuwa na walinzi kibao ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
This is an intelligent move, ni wachache wataielewa.Wakati Lissu ameweka wazi kuwa ameweka pingamizi/mapingamizi, naomba nitabiri tu kuwa kitachotokea katika kuamua juu ya mapingamizi hayo, ni mapingamizi hayo ya Lissu na ya wagombea wengine (kama yatakuwepo), yote yatatupwa.
Lissu ni kioona mbali na anajua afanye nini katika wakati sahihi.
Mshindi hapa atakuwa ni nani, nakuachia msomaji.
Ukweli ulio mchungu!Ndio ukweli
Sasa kwani hofu nini mpaka mukawateka watu na kuwapiga wagombea musha jua kama chama kina kufa.Lkn mwishowe chadema inakufa!
mkuu lakini sheria si msumeno, acha ifuate mkondo wakeTukiwaambia chadema ni wajinga wanatokwa povu!
Wenzenu huku tayari wana wabunge 22 nyie bado mnahangaika kukagua form?
Mambo mengine ni ujuaji ambao hauna maana.
Kwahiyo anategemea kuna mtu ataenguliwa ili yeye abaki peke yake?
Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
Kule Malawi Rais alikuwa na kinga kisheria lakini Rais mpya kaingia kufuta kinga zake zote sasa anahaha kwa ushetani wake wote aliotendaMgombea Uraisi ni Raisi wa JMTZ, hashitakiwi wala kuhukumiwa popote pale ndani ya JMTZ, siyo Mwanasheria lkn simple logic inatosha!
Hata Mimi nikiwa Rais naweza Jenga sgr sio kazi ngumu.kuna mtu katafuta kiki for 5 bloody years. Lissu kaikamata nchi ndani ya mwezi mmoja tu watu tayari jamba-jamba.
ndio mjue hizo SGR & Stiegler's Gorge zenu Lissu akiamua kuzijenga hawezi kuchukua miaka yote 15 ambayo JPM anahitaji.
mwacheni mwanaume wa ukweli awanyooshe, mlizoea vya kunyonga shubaaamit!
Usilazimishe unachopenda wewe ndo kiwe, kumbuka pingamizi si shitaka Sawa?Mgombea Uraisi ni Raisi wa JMTZ, hashitakiwi wala kuhukumiwa popote pale ndani ya JMTZ, siyo Mwanasheria lkn simple logic inatosha!