guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Tungeyafanya haya toka kitambo tusingekuwa hapa,uongozi ni kubalansisha mambo. kama baba unaacha za kula za kutosha nyumbani watoto washibe na zingine unajengea, simple economics!
Ana balaa huyu!!Kumuwekea pingamizi magufuli?Ni jambo ambalo halikutegemewa wala kutarajiwa.TL anaitesa tume ya Uchaguzi lakini busara za Mwenyekiti naamini zitatumika na atawithdraw mapingamizi yake kwa mustakabali mwema wa nchi yetu.Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Uchaguzi House) jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urais wa JMT, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema, Kanda ya Kati, jijini Dodoma.
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Agosti 26, 2020
====
Tundu Lissu amewawekea Pingamizi Wagombea Wawili wa Urais. Amewawekea pingamizi Ibrahim Lipumba wa chama cha CUF na Dr. John Magufuli wa chama cha CCM.
Hadi muda unaisha, hakuna aliyemuwekea Pingamizi Tundu Lissu. Hivyo kaondoka na kuelekea Ofisi za CHADEMA za Kanda kuongea na Wanahabari.
Zaidi, soma:
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM
Uchaguzi 2020 - Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA
View attachment 1548762View attachment 1548764
Lissu haoni ndani kwa Mtemi Chenge.
Vipi yakhe..mbona kinyonge sana leoLissu anapenda sana kuonekana.. Huyu anaweza tu drama sio chochote serious
Acha povu tuliza akili
Hajaanzisha vita atakeleza takwa na kikanuni la kuwawekea wagombea wenzake pingamizi kama lipo Magufuri nae ni mgombea je tatizo liko wap?Anauwa Chama chenu lakini, Magufuli ni Raisi wa JMTZ na mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, kuanzisha Vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ni ujuha, ni watu low IQ ndio wanaweza kufanya hivi, ...
Mtanyooka tu nyinyi vibaraka subirini 28/10/2020Hadi raha
Labda kwa kufulumsha matusi, nimemsikia kwenye clip akihoji, kwa hilo hata mimi namsifu ni motoLissu haoni ndani kwa Mtemi Chenge.
kesi zenyewe za kisiasa!!Anachekelea.. huku kakimbia kufika mahakamani leo..
Ana kesi za kujibu.. na bado.. kunogile haswaa..
Pole yake..
Magufuli 2020💯
Hahahah nonsenseSitashangaa na Jiwe nae akiweka pingamizi kuwa Lisu ana urafiki na Mabeberu kina Robati Amstedam ambao huwa wanatabia ya kuingilia mambo ya nchi zingine zisizowahusu.
Endeleeni kuchokoza tu.Hajaanzisha vita atakeleza takwa na kikanuni la kuwawekea wagombea wenzake pingamizi kama lipo Magufuri nae ni mgombea je tatizo liko wap?
Hivi ikitokea ikawa anayepingwa ni Magufuli, uhuru wa NEC kushughulikia hilo utatoka wapi?
By the way kuwekewa pingamizi maana yake ni kukosa sifa ya kushiriki uchaguzi au?
Hapana ni ishara ya abnormal behaviour na sababu za Lissu zinajulikana (personal distress) anachoitaji ni msaada wa kitaalamu.Unapokuwa tofauti na wenzako ni ishara pia unaweza kuwa upo ahead na uwezo mkubwa kuliko wao.
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua low IQ?Hata mgombea wako Low IQ anaamini hivyo kama wewe!
Hehehe,*****Hahaha wao waengue wagombea ubunge, Lissu anadili na Jiwe [emoji23]
Mtanyooka tu.kesi zenyewe za kisiasa!!
Ass!Wewe mwenyewe ni mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua low IQ?
We unadhani kuna mtumishi wa serikali anaipenda serikali hii.....Hivi ikitokea ikawa anayepingwa ni Magufuli, uhuru wa NEC kushughulikia hilo utatoka wapi?
By the way kuwekewa pingamizi maana yake ni kukosa sifa ya kushiriki uchaguzi au?
Kwa sasa hamuoni nyie ndi mnanyooka?Mtanyooka tu.