Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

BAVICHA TAIFA,

Yaonekana pana mtu alikuwa kapanga kufika tume kimya kimya mida ya 16:00 na mapingamizi lukuki.

Kutoa ngoma droo, ilipaswa kwenda mwendo huo huo wa kimya kimya na mida pendwa ya16:00.

Suluhu twende tu kwa wananchi.

Tukubaliane tu bandugu mizengwe sasa, - basi.
👏👏👏👏👏
 
Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅

Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele
 
Lisu kaweka ana akili sana huyu mtanzania. Akili zake siyo za dunia hii.

Amewatega NEC vibaya mno na wametegeka. Wako njia panda. Wakijikwaa ktk maamuzi ya mapingamizi ya JPM na Lipumba (hii itakuwa ni precedence), na hivyo basi wabunge wote walioenguliwa watarejeshwa.

Na endapo watayapa uzito Magufuli atapoteza sifa ya kuwa mgombea.

Vyovyote iwavyo akili ya Lisu itakuwa imeshinda.

Lkn msisahau hili:
(Aliyepewa kazi ya kumjazia fomu John atapata taqbu Sana).
Nani huyo alimjazia fomu. Alijaziwa fomu tena?
 
We unadhani kuna mtumishi wa serikali anaipenda serikali hii.....

Naamini watumishi wote wakipata nafasi ya kupiga spana watafanya hivo ili kulikomboa taifa kutoka kwa udharimu wa awamu iliyoisha
Miaka mitano watumishi hawakupanda madaraja vyeo na mshahara hawataki kusikia utawala wa magufuli kabsa
 
Lisu kaweka ana akili sana huyu mtanzania. Akili zake siyo za dunia hii.

Amewatega NEC vibaya mno na wametegeka. Wako njia panda. Wakijikwaa ktk maamuzi ya mapingamizi ya JPM na Lipumba (hii itakuwa ni precedence), na hivyo basi wabunge wote walioenguliwa watarejeshwa.

Na endapo watayapa uzito Magufuli atapoteza sifa ya kuwa mgombea.

Vyovyote iwavyo akili ya Lisu itakuwa imeshinda.

Lkn msisahau hili:
(Aliyepewa kazi ya kumjazia fomu John atapata taqbu Sana).
Unafahamu kwamba pingamizi hutupiliwa mbali kisheria pia?,si kila pingamizi ni la kweli
 
Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅

Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele
mungejua,mumepinga,munakimbia,musingekua duh sijui lugha gani hii
 
Ukiona hivyo,uje nae wamemuwekea pingamizi hivyo hii ni hatua mojawapo ya kujihami.

Wakitaka kumuengua,basi nao hao wengine(hasa Mfalme) nao waenguliwe na hapo ndio patakuwa pagumu na kwahiyo mchezo utaishia hapo.
Tundu Lisu hajawekewa pingamizi lolote
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
Kuna mmoja wenu anahitaji msaada wa kitaaluma sio Lissu
The guy is smart Intelligent ada yake shule ililipwa kihalali sio kuungaunga kama nanihiii
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Karibu tutaelewana shwainiiii
 
Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅

Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele
Hii ni lugha gani uliyo andika?
Unajua kusoma nakuandika kweli?

Niko njiani kuweka pingamizi la elimu bure, haiwezekani ubongo kama huu
 
Back
Top Bottom