Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Jibu swali, yupo tofauti na watunga sheria wa PINGAMIZI?Mtafutieni msaada wa kitaalamu badala ya kumshawishi kufanya vituko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali, yupo tofauti na watunga sheria wa PINGAMIZI?Mtafutieni msaada wa kitaalamu badala ya kumshawishi kufanya vituko.
Acha masihara,NECTA?Kwahiyo NECTA wamepokea hilo pingamizi?
👏👏👏👏👏BAVICHA TAIFA,
Yaonekana pana mtu alikuwa kapanga kufika tume kimya kimya mida ya 16:00 na mapingamizi lukuki.
Kutoa ngoma droo, ilipaswa kwenda mwendo huo huo wa kimya kimya na mida pendwa ya16:00.
Suluhu twende tu kwa wananchi.
Tukubaliane tu bandugu mizengwe sasa, - basi.
Magufuli anapenda kuonekana huyu anaweza kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzaniLissu anapenda sana kuonekana.. Huyu anaweza tu drama sio chochote serious
Phd feki na professorial rubbish......PhD holder rais wa Libya Saddam Hussein🤣
Halafu hakosei kwenye form zake huyu kweli?
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ana ukweli gani huyu? Mimi mtu akidanganya mara moja simuamini tenaUzuri wa Lissu watu wengi bado hawajamuelewa yeye siku zote uwa anapenda haki, sheria ifuatwe na haki itendeke.
Ujanja ujanja kwake no Ni kusimamia ukweli.
Hawajawahi kutana mahakama Kama washawahi ni liniLissu haoni ndani kwa Mtemi Chenge.
Lissu anapenda sana kuonekana.. Huyu anaweza tu drama sio chochote serious
AhahahDah! Kwa mambo yanavyoenda inaonekana huyu jamaa Ana nguvu kuliko mtu yule.
Hivi enzi zake(mtu yule) Kuna mtu angejaribu hata kusema hivyo?
Kweli Kuna mtu anaelekea kibra
Nani huyo alimjazia fomu. Alijaziwa fomu tena?Lisu kaweka ana akili sana huyu mtanzania. Akili zake siyo za dunia hii.
Amewatega NEC vibaya mno na wametegeka. Wako njia panda. Wakijikwaa ktk maamuzi ya mapingamizi ya JPM na Lipumba (hii itakuwa ni precedence), na hivyo basi wabunge wote walioenguliwa watarejeshwa.
Na endapo watayapa uzito Magufuli atapoteza sifa ya kuwa mgombea.
Vyovyote iwavyo akili ya Lisu itakuwa imeshinda.
Lkn msisahau hili:
(Aliyepewa kazi ya kumjazia fomu John atapata taqbu Sana).
Miaka mitano watumishi hawakupanda madaraja vyeo na mshahara hawataki kusikia utawala wa magufuli kabsaWe unadhani kuna mtumishi wa serikali anaipenda serikali hii.....
Naamini watumishi wote wakipata nafasi ya kupiga spana watafanya hivo ili kulikomboa taifa kutoka kwa udharimu wa awamu iliyoisha
Unafahamu kwamba pingamizi hutupiliwa mbali kisheria pia?,si kila pingamizi ni la kweliLisu kaweka ana akili sana huyu mtanzania. Akili zake siyo za dunia hii.
Amewatega NEC vibaya mno na wametegeka. Wako njia panda. Wakijikwaa ktk maamuzi ya mapingamizi ya JPM na Lipumba (hii itakuwa ni precedence), na hivyo basi wabunge wote walioenguliwa watarejeshwa.
Na endapo watayapa uzito Magufuli atapoteza sifa ya kuwa mgombea.
Vyovyote iwavyo akili ya Lisu itakuwa imeshinda.
Lkn msisahau hili:
(Aliyepewa kazi ya kumjazia fomu John atapata taqbu Sana).
mungejua,mumepinga,munakimbia,musingekua duh sijui lugha gani hiiAcha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅
Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele
Tundu Lisu hajawekewa pingamizi loloteUkiona hivyo,uje nae wamemuwekea pingamizi hivyo hii ni hatua mojawapo ya kujihami.
Wakitaka kumuengua,basi nao hao wengine(hasa Mfalme) nao waenguliwe na hapo ndio patakuwa pagumu na kwahiyo mchezo utaishia hapo.
Mh. Rais magufuli ndiye mhamasishaji mkuu wa kufuata sheria na analisisitiza hilo kila siku hivyo sion tatizo hapo zaid ya umbeaEndeleeni kuchokoza tu.
Kuna mmoja wenu anahitaji msaada wa kitaaluma sio LissuWatu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
Hii ni lugha gani uliyo andika?Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅
Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele