Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Huna authority yeyote ya kumuiga lissu low IQ .

Education background yake Haina Shaka Wala chenga .

Ana michango chanya kwa jamii hii since the beginning .

Hata ukimsikiliza unajua tu elimu aliyoipata imefanya kazi barabara .

Kama unataka kushindana lissu shindana nae kwa hoja ,Sheria,taratibu na vifungu

Otherwise utakuwa haramia tu[emoji848]
 
Inabidi CHADEMA watumie mapingamizi haya kama shinikizo. Wagombea wao wote walioenguliwa kwa figisu figisu wote warudishwe kwenye ballot box.

This is chess not checkers!
👏👏👏👏👏👏👏
Hiyo ndiyo leverage nzuri,
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
Kwa hiyo waliotunga sheria ya PINGAMIZI wapo tofauti na Lisu?
 
Moderator hivi hakuna kitufe cha kuweka multiple "thanks"?

Huyu kidume ananifurahisha sana anavyowanyorosha MATAGA... walizoea vya kunyonga for 5 years, sasa karudi wacha awanyooshe!
CCM humu wanamlaumu Tundu lisu utazani yeye ndiyo kaanza mapingamizi kumbe Tundu lisu kaweka mapingamizi baada ya kupewa taarifa kuwa CCM watamhujumu kwa kuwanunua watu na akina Shibuda Lipumba na wenzao wamuwekee pingamizi, Tundu lisu kujihami dhidi ya Hujuma za CCM
 
Iko verified that's why haijafutwa na hii ni matokeo ya kilio cha wengi kuyaka CHADEMA ijitanue mitandaoni
Kumbe ni account ya kitambo sana tangu 2013...lakini nadhani ilikuwa less active

CHADEMA, BAVICHA TAIFA please wekeni nembo ya chama kama DP
Kwangu sioni kama iko verified.
Labda sababu natumia browser instead of app ya JF
 
Sasa kwani hofu nini mpaka mukawateka watu na kuwapiga wagombea musha jua kama chama kina kufa.

Naam CCM inakufa. Mungu ametuletea mkombozi. Ni LISSU 2020. Wizi na uzandiki wote Kwisha.
 
Lisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagombea wake ambao majimbo yao ccm imepita bila kupingwa huku majimboni kuliko kupoteza muda kutafuta kitu ambacho hakita mpa ushindi
Kuna wanasheria wengine watawatumia hao
 
Hongera Sana Lissu nguli wa Sheria kwa kuuthibitishia Ulimwengu kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 ni huru na wa haki.
Naamini pia baada ya matokeo kutangazwa hakutakuwa na uhalali wa Mgombea au mwanachama wa chama chochote KULALAMIKA!

Naipongeza sana NEC pamoja na Serikali kwa KURUHUSU taratibu zote kufuatwa pamoja na kuwapa Wagombea wote UHURU wa kutosha.

TANZANIA NAKUPENDA

Tukutane Oktoba 28, 2020
 
Endeleeni kuchokoza tu.
Sasa kutekeleza takwa la kikanuni uchokozi wake hapo ni nini
Hii niheshima ili ccm isilale kuwa kuna uchaguzi rahisi ili mwisho wa siku yeyote atakayeshinda atakeleze matakwa ya kikatiba na kuheshimu kanuni
 
Lisu kaweka ana akili sana huyu Mtanzania. Akili zake siyo za dunia hii.

Amewatega NEC vibaya mno na wametegeka. Wako njia panda. Wakijikwaa katika maamuzi ya mapingamizi ya JPM na Lipumba (hii itakuwa ni precedence), na hivyo basi wabunge wote walioenguliwa watarejeshwa.

Na endapo watayapa uzito, Magufuli atapoteza sifa ya kuwa mgombea.

Vyovyote iwavyo, akili ya Lissu itakuwa imeshinda.

Lakini msisahau hili: (Aliyepewa kazi ya kumjazia fomu John atapata taqbu sana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…