guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Ahahaha,Lisu ni Saizi kabisa ya Magufuli. Akipiga ya Jicho piga ya Sikio akiuliza unaonaje muulize unajisikiaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha,Lisu ni Saizi kabisa ya Magufuli. Akipiga ya Jicho piga ya Sikio akiuliza unaonaje muulize unajisikiaje.
Huna authority yeyote ya kumuiga lissu low IQ .Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
👏👏👏👏👏👏👏Inabidi CHADEMA watumie mapingamizi haya kama shinikizo. Wagombea wao wote walioenguliwa kwa figisu figisu wote warudishwe kwenye ballot box.
This is chess not checkers!
Kwa hiyo waliotunga sheria ya PINGAMIZI wapo tofauti na Lisu?Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
CCM humu wanamlaumu Tundu lisu utazani yeye ndiyo kaanza mapingamizi kumbe Tundu lisu kaweka mapingamizi baada ya kupewa taarifa kuwa CCM watamhujumu kwa kuwanunua watu na akina Shibuda Lipumba na wenzao wamuwekee pingamizi, Tundu lisu kujihami dhidi ya Hujuma za CCMModerator hivi hakuna kitufe cha kuweka multiple "thanks"?
Huyu kidume ananifurahisha sana anavyowanyorosha MATAGA... walizoea vya kunyonga for 5 years, sasa karudi wacha awanyooshe!
Kwangu sioni kama iko verified.Iko verified that's why haijafutwa na hii ni matokeo ya kilio cha wengi kuyaka CHADEMA ijitanue mitandaoni
Kumbe ni account ya kitambo sana tangu 2013...lakini nadhani ilikuwa less active
CHADEMA, BAVICHA TAIFA please wekeni nembo ya chama kama DP
Sasa kwani hofu nini mpaka mukawateka watu na kuwapiga wagombea musha jua kama chama kina kufa.
Kuna wanasheria wengine watawatumia haoLisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagombea wake ambao majimbo yao ccm imepita bila kupingwa huku majimboni kuliko kupoteza muda kutafuta kitu ambacho hakita mpa ushindi
Sasa kutekeleza takwa la kikanuni uchokozi wake hapo ni niniEndeleeni kuchokoza tu.
CCM ndiyo waliunda hiyo Sheria ya pingamizi lakini cha ajabu Tundu lisu kajihami dhidi ya pingamizi za CCM wameanza kupiga keleleKwa hiyo waliotunga sheria ya PINGAMIZI wapo tofauti na Lisu?
Kwa lipi? Mbona tuko busy na kazi kama kawaida!Kwa sasa hamuoni nyie ndi mnanyooka?
Mpaka sasa hivi ccm 22 chadema ya Lisu 0Naam CCM inakufa. Mungu ametuletea mkombozi. Ni LISSU 2020. Wizi na uzandiki wote Kwisha.
Mkuu, mbona hasira.Mgombea Uraisi ni Raisi wa JMTZ, hashitakiwi wala kuhukumiwa popote pale ndani ya JMTZ, siyo Mwanasheria lkn simple logic inatosha!
Mtafutieni msaada wa kitaalamu badala ya kumshawishi kufanya vituko.Kwa hiyo waliotunga sheria ya PINGAMIZI wapo tofauti na Lisu?
CCM ni janga.CCM ndiyo waliunda hiyo Sheria ya pingamizi lakini cha ajabu Tundu lisu kajihami dhidi ya pingamizi za CCM wameanza kupiga kelele
kesi zenyewe za kisiasa!!