Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Magufuli 2020 πŸ’― kwa kuweka historia ya milele
 
Nani huyo alimjazia fomu. Alijaziwa fomu tena?
 
We unadhani kuna mtumishi wa serikali anaipenda serikali hii.....

Naamini watumishi wote wakipata nafasi ya kupiga spana watafanya hivo ili kulikomboa taifa kutoka kwa udharimu wa awamu iliyoisha
Miaka mitano watumishi hawakupanda madaraja vyeo na mshahara hawataki kusikia utawala wa magufuli kabsa
 
Unafahamu kwamba pingamizi hutupiliwa mbali kisheria pia?,si kila pingamizi ni la kweli
 
mungejua,mumepinga,munakimbia,musingekua duh sijui lugha gani hii
 
Ukiona hivyo,uje nae wamemuwekea pingamizi hivyo hii ni hatua mojawapo ya kujihami.

Wakitaka kumuengua,basi nao hao wengine(hasa Mfalme) nao waenguliwe na hapo ndio patakuwa pagumu na kwahiyo mchezo utaishia hapo.
Tundu Lisu hajawekewa pingamizi lolote
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
Kuna mmoja wenu anahitaji msaada wa kitaaluma sio Lissu
The guy is smart Intelligent ada yake shule ililipwa kihalali sio kuungaunga kama nanihiii
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Karibu tutaelewana shwainiiii
 
Hii ni lugha gani uliyo andika?
Unajua kusoma nakuandika kweli?

Niko njiani kuweka pingamizi la elimu bure, haiwezekani ubongo kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…