Hebu tueleze pingamizi la msaliti Lissu linahusu nini? Tuanzie hapo kwanza!Lisu kaweka ana akili sana huyu Mtanzania. Akili zake siyo za dunia hii.
Amewatega NEC vibaya mno na wametegeka. Wako njia panda. Wakijikwaa katika maamuzi ya mapingamizi ya JPM na Lipumba (hii itakuwa ni precedence), na hivyo basi wabunge wote walioenguliwa watarejeshwa.
Na endapo watayapa uzito, Magufuli atapoteza sifa ya kuwa mgombea.
Vyovyote iwavyo, akili ya Lissu itakuwa imeshinda.
Lakini msisahau hili: (Aliyepewa kazi ya kumjazia fomu John atapata taqbu sana)
Kajifunze kuandika kwanza mambo makubwa sio kila jambo lazima uchangie hata kama mnalipwa😂😂😂Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅
Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele
Bungeni siku ya report ya uchunguzi ya kina marehemu Deo Filikunjombe. Yaani hadi Lissu mwenyewe walikuwa wanamfuata Mtemi Chenge. Tena siku hiyo bunge lilikuwa live. Walijadili ila wote walikuwa wanamfuata Chenge ili kutafasiri na sheria.Hawajawahi kutana mahakama Kama washawahi ni lini
Haa haa nacheka kama mazuriNani huyo alimjazia fomu. Alijaziwa fomu tena?
Kwa kweli afuate sheria kama vile alivyowakatia mishahara watumishi ambao walitia nia bila kufuata sheriaMh. Rais magufuli ndiye mhamasishaji mkuu wa kufuata sheria na analisisitiza hilo kila siku hivyo sion tatizo hapo zaid ya umbea
Tunawasubiri tu muingie King!!Mh. Rais magufuli ndiye mhamasishaji mkuu wa kufuata sheria na analisisitiza hilo kila siku hivyo sion tatizo hapo zaid ya umbea
Shida yako unaandika huku umekumbatiwa au darasani hukuwa makini wakati mwalimu akifundisha.Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅
Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele
Nani amepeleka mapingamizi kimya kimya??Mbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!
Huyu Lisu anapenda kiki!
😁😁😁Na ni kutokana na tabia yangu hii hii ya kupenda 'Kunyoosha' ndiyo maana nina 'Maadui' wengi ila nina Ulinzi wa kutosha wa Malaika wake Mungu.
Angalia usije nyea watuDrama tu nothing big!
Leo kama umesahau mtukufu Magufuli? au Shibuda na Lipumba wamekupa mgao?Bungeni siku ya report ya uchunguzi ya kina marehemu Deo Filikunjombe. Yaani hadi Lissu mwenyewe walikuwa wanamfuata Mtemi Chenge. Tena siku hiyo bunge lilikuwa live. Walijadili ila wote walikuwa wanamfuata Chenge ili kutafasiri na sheria.
Mnahangaika sanaTuendelee kutunza kumbukumbu, Lissu pamoja na uhuru na haki ya kufanya haya yote oktoba akiwa kesha shindwa vibaya atasema uchaguzi haukuwa huru na haki.
Jana alisema ameambiwa yako magari 3 na kuyataja namba zake kuwa yana watu wenye binduki wanataka wamteke. Tume haikukemea hili, ila leo inakemea vyombo vya habari kutaja majina ya wagombea ambao majimbo yao wapinzani wamevurugwa.
Tume ilitoa elimu ya uchaguzi ya kutosha kwa wanahabari? Kuwepo na watu wa kuambatana na wakiwa nyuma ya wajumbe wa tume.
Magufuli alivyowanyoosha haitoshi, Lissu atanyoosha zaidi ya Magufuli?Nakwambia Lissu atainyoosha kama rula! Huyu jamaa yuko strict and straight
Wagombea wote Wana sifa sawa.na wako chini ya Sheria ya time ya uchaguzi. Pingamizi likiputa imekula kwenuNyumbu mna kazi sana.
Hivi kwa akili zenu za kinyumbu kwamba Mgombea wa CCM ataenguliwa!
Kwa kweli Lofa ni Lofa tu (RIP Mkapa)
Wamekutuma uwasemee?Miaka mitano watumishi hawakupanda madaraja vyeo na mshahara hawataki kusikia utawala wa magufuli kabsa
mungejua,mumepinga,munakimbia,musingekua duh sijui lugha gani hii
yaweza kuwa hata sheria hujui nimeandika nn hapo kinacho pingana na sheria au ndio wale waku dandia train kwa mbele huelewi kinacho endelea.Kasome sheria usiwaze kwa mazoea kama sheria imekataza angeenguliwa
Hakuna kupotezea, Magu amekithiri mno kukiuka sheria, kanuni na hata Katiba ya nchiMimi naona angepotezea tu kikajulikane huko field mbivu na mbichi.