Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Lisu kaweka ana akili sana huyu Mtanzania. Akili zake siyo za dunia hii.

Amewatega NEC vibaya mno na wametegeka. Wako njia panda. Wakijikwaa katika maamuzi ya mapingamizi ya JPM na Lipumba (hii itakuwa ni precedence), na hivyo basi wabunge wote walioenguliwa watarejeshwa.

Na endapo watayapa uzito, Magufuli atapoteza sifa ya kuwa mgombea.

Vyovyote iwavyo, akili ya Lissu itakuwa imeshinda.

Lakini msisahau hili: (Aliyepewa kazi ya kumjazia fomu John atapata taqbu sana)
Hebu tueleze pingamizi la msaliti Lissu linahusu nini? Tuanzie hapo kwanza!
 
Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅

Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele
Kajifunze kuandika kwanza mambo makubwa sio kila jambo lazima uchangie hata kama mnalipwa😂😂😂
 
Hawajawahi kutana mahakama Kama washawahi ni lini
Bungeni siku ya report ya uchunguzi ya kina marehemu Deo Filikunjombe. Yaani hadi Lissu mwenyewe walikuwa wanamfuata Mtemi Chenge. Tena siku hiyo bunge lilikuwa live. Walijadili ila wote walikuwa wanamfuata Chenge ili kutafasiri na sheria.
 
Afadhali angejikita kuandaa silaha za kupambana nae jukwaani kuliko hizi tantalila anazotaka kuanzisha ambazo hazitampa credibility ya kupata kura kwa wananchi wanyonge
 
Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅

Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele
Shida yako unaandika huku umekumbatiwa au darasani hukuwa makini wakati mwalimu akifundisha.
 
Bungeni siku ya report ya uchunguzi ya kina marehemu Deo Filikunjombe. Yaani hadi Lissu mwenyewe walikuwa wanamfuata Mtemi Chenge. Tena siku hiyo bunge lilikuwa live. Walijadili ila wote walikuwa wanamfuata Chenge ili kutafasiri na sheria.
Leo kama umesahau mtukufu Magufuli? au Shibuda na Lipumba wamekupa mgao?
 
Tuendelee kutunza kumbukumbu, Lissu pamoja na uhuru na haki ya kufanya haya yote oktoba akiwa kesha shindwa vibaya atasema uchaguzi haukuwa huru na haki.

Jana alisema ameambiwa yako magari 3 na kuyataja namba zake kuwa yana watu wenye binduki wanataka wamteke. Tume haikukemea hili, ila leo inakemea vyombo vya habari kutaja majina ya wagombea ambao majimbo yao wapinzani wamevurugwa.

Tume ilitoa elimu ya uchaguzi ya kutosha kwa wanahabari? Kuwepo na watu wa kuambatana na wakiwa nyuma ya wajumbe wa tume.
Mnahangaika sana

IMG_20200826_171648.jpeg
IMG_20200826_171457.jpeg
IMG_20200826_170902.jpeg
 
Kasome sheria usiwaze kwa mazoea kama sheria imekataza angeenguliwa
yaweza kuwa hata sheria hujui nimeandika nn hapo kinacho pingana na sheria au ndio wale waku dandia train kwa mbele huelewi kinacho endelea.
 
Back
Top Bottom