Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Usitulazimishe kufuata Mambo ya Mabeberu!!
Sisi magonjwa ya akili tunachukulia poa ndio maana unakuta mdada baada ya kujifungua anapatwa na ‘postnatal depression’ badala ya kumtafutia msaada wa kitaalamu tunaita uchizi wa uzazi atajijua mwenyewe, mtoto ana maliza shule ya msingi hajui kuandika wala kusoma tunasema mbutika badala ya kufahamu hiyo ni learning disability anahitaji kufundishwa kwa mtindo mwingine etc na mambo yetu ya ovyo.

Na ndio kama Lissu anavyoongea tu unaona kuna psychological issues ambazo ajamalizana nazo tunamwita shujaa bila ya kufahamu asipofanikiwa mission yake hilo tatizo ambalo kwa sasa ni dogo mbeleni litakuwa kubwa zaidi bila ya kupatiwa msaada.
 
Hizo hujuma mnazolalamikia nadhani zinapangwa na washindani wa wagombea na siyo chama ngazi ya Taifa; mfano Morogoro mjini hizo heka heka zitakuwa ni mpango wa Mgombea wa CCM na Polisi wala chama hakihusiki. Wanaontang'anywa fomu ni mpango wa Mgombea wala Chama chake kitakuwa hakihusiki.
Kuna ukweli kiasi hapa. Ila yote kwa yote,michezo ya huko majimboni kwa nini ifumbiwe macho na wakubwa wa chama chenu (Taifani)?
 
Mimi nadhani Lissu ameweka pingamizi sio kwa sababu anataka Rias aenguliwe kwenye kinyang'anyiro bali ni ili aonyeshe kwamba hata kama mpinzani wako ni mkuu wa nchi, kisheria una haki ya kumpinga kulingana na vifungu vya sheria zilizopo

Yes, you are very right...

But all in all pingamizi limewekwa...

On the other hand, Tundu Lissu anajaribu kufunua mapungufu makubwa ya mfumo wetu wa kisheria na kikatiba unaosimamia chaguzi zetu....

It's no doubt that, Magufuli (Rais) kwa kutumia cheo chake na mamlaka yake ya "Urais" amefanya makosa na kuvunja sheria waziwazi kabisa za uchaguzi....

Kwa sababu, wote tunafahamu kuwa ni vigumu sana "Incumbent President" kutiwa hatiani hata kama amekosea...

Mimi nawaonea huruma M/kiti wa NEC na wakurugenzi wake...

They are really having a very difficult time to make decisions about this....

This is absolutely the most difficult times in their entire life...

I am sure they are throwing so much blames on this man who once died and back to life again....!!

Hili swali ndilo wanalojiuliza wana NEC haaa...

Kwanini Tundu Lissu unatuweka katika wakati mgumu hivi??
 
Not outside the parameters of social norms, that is simply abnormal.

i think Lissu is within those parameters,if not he would have walked naked or talk about adultery in all his public appearances like how his competitor does
 
Utaratibu wa mapingamizi ni kwamba MUWEKA pingamizi na MUWEKEWA pingamizi lazima wakutanishwe na Tume ya Uchaguzi ili aliyewekewa pingamizi aweze kujibu na kwa mujibu ya sheria anaeruhusiwa kujibu pingamizi ni mgombea mwenyewe hakuna anaeruhusiwa kujibu kwa niaba.
 
Ati nini? Uso kwa uso????? Yaaani Ana kwa ana???? We acha zako hizo. Inabidi bunge lifufuke kwanza lirekebishe hicho unachosema ndipo uchaguzi uendelee. Yaaani Magufuli aangaliane na Lisu live bila chenga???, Si watarushiana maneno hao? Haya, nyie jifanye mnafuata sheria, kanuni na taratibu,
Kuna mtu atapanic hapo na kuanza kurusha povu
 
Sasa hapa CCM itabidi wamuite Mtemi Chenge. Maana la sivyo wale vilaza wakiongonzwa na mwenyekiti wao watachanganyikiwa. Chenge pekee ndo kiboko ya Lissu.
Huyu wajumbe wamemla kichwa huyo hata wakimtafuta Sasa amesha wasusia acha haki ichukue mkondo wake.
 
TL anapenda haki sana na kama ingetumika haki 100 jamaa wasingechomoa!
Kwanza kati ya hao walio wekewa pingamizi hakuna wakujibu maswali ya Lissu
 
Hizo hujuma mnazolalamikia nadhani zinapangwa na washindani wa wagombea na siyo chama ngazi ya Taifa; mfano Morogoro mjini hizo heka heka zitakuwa ni mpango wa Mgombea wa CCM na Polisi wala chama hakihusiki. Wanaontang'anywa fomu ni mpango wa Mgombea wala Chama chake kitakuwa hakihusiki.

..umesahau mlivyokuwa mkijigamba kwamba polisi ni mali ya ccm?
 
i think Lissu is within those parameters,if not he would have walked naked or talk about adultery in all his public appearances like how his competitor does
You see that is the problem what you are discribing are behaviours much associated with serious forms learning disability and not mental health with exception to schizophrenia.

Google first what is abnormal behaviour and it’s signs ndio utaona matatizo ya Lissu kwa sasa ni moderate.
 
Back
Top Bottom