Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Nae atakua anacheka kihutu huko alikoNamtazama J.M.Kikwete mwanadiplomasia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nae atakua anacheka kihutu huko alikoNamtazama J.M.Kikwete mwanadiplomasia.
Beberu anafanya yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hiki ndio CCM wanachofanyiwa
Wameishamuona ni chizi!
Umeongea bonge la point...rais wa kinabe na rais wa mioyo ni vitu 2 tofautiNa Lisu ndio Rais wa mioyo yetu haaaaa CCM hawataki
Hapo ndio anataka kuuonesha umma kama kuna utawala wa sheria au la?Shida inakuja watoa maamuzi/hukumu ndio wale wale...
Vipengele vimezidi wangeachwa watu waanze kampeni uwoga ukizidi nayo ni hatari
Dr. Magufuli , ndiye Rais wa Tanzania. Full stop.
Hutaki hama nchi .
Siyo rahisi broMazoea mabaya sana lakini this time yatawagharimu pakubwa
Vyovyote iwavyo hata Kama ameweka pingamizi Rais asipumue poa tu..tushajichokea sisi na utawala huuMimi nadhani Lissu ameweka pingamizi sio kwa sababu anataka Rias aenguliwe kwenye kinyang'anyiro bali ni ili aonyeshe kwamba hata kama mpinzani wako ni mkuu wa nchi, kisheria una haki ya kumpinga kulingana na vifungu vya sheria zilizopo
Na Lisu ndio Rais wa mioyo yetu haaaaa CCM hawataki
Umechoka wewe na naniKampeni na zianze tu tumechoka na haya mambo kwa kweli.
"Precedency".Mimi nadhani Lissu ameweka pingamizi sio kwa sababu anataka Rias aenguliwe kwenye kinyang'anyiro bali ni ili aonyeshe kwamba hata kama mpinzani wako ni mkuu wa nchi, kisheria una haki ya kumpinga kulingana na vifungu vya sheria zilizopo
Wote wenye akili timamu tunashukuru mungu kwa kumwachia maisha yake.
Hila iwapo tume ndio wenye jukumu la kuhakiki na watu walienda mapema kama kuna kasoro wazifanyie kazi na wakaambiwa hakuna.
Whose to blame ata mtu akikataa rufa?
Mkuu Mshana Jr unajua me hapa sijapaelewa elewa, naomba uniweke aware. Tunapozungumzia Lissu kuwawekea pingamizi hawa wagombea wengine ni nn na sababu ni nini.Uonevu SASA!? BASI...!! SASA BASI...!! SASA BASI...!!!
Duuh, kweli kabisa unamaanisha?
Ninachokiona kwako ni mpishano mkubwa wa unachokitamka/andika hapa kutoka mdomoni kwako na unachoamini moyoni mwako....!
Kwa lugha rahisi ni hivi;
Hata wewe mwenyewe hukiamini kitokacho mdomoni mwako na kukiandika hapa....!!
Rais wa Tanzania ni Dr. Magufuli.
Wengine hao ni michicha.
Usitulazimishe kufuata Mambo ya Mabeberu!!Nenda google kasome effects of ‘life event’ or significant life events