Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Mmekaa kishari shari sana, kama siyo chama cha siasa ni kikundi cha mauaji vile.

Mna nini nyie chamadola?
Mnachokozwa na nani?
Ninyi ni nani msihojiwe?

Hamieni dunia ya peke yenu.
Jaribuni kuwa wazalendo wa kweli, muache unafiki na kujipendekeza kwa huyo dikteta, atapita, tanzania yetu pendwa ipo pale pale
Kwa sababu umesha tambua kuwa ni chama dola basi kaa utulie kabisa
 
Hivi hizo form za Magu wamezionea wapi hadi wakaona amekosea sehemu?
 
Endeleeni kurukaruka kama njugu.

Huyo anayehitajiwa huko mitaani alikokuwa anazunguka mara mtaa wa jojo na mitaa ya firigisi watakutana kupeana pole uko huku mitaani kwao.

Mhe. Dr. Magufuli, ndiye Rais wa Tanzania anakubalika kwa Watanzania wote.
Watanzania wa wapi anaokubalika? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba?
 

Attachments

  • 2498089_IMG-20200826-WA0023.jpg
    2498089_IMG-20200826-WA0023.jpg
    54.5 KB · Views: 2
Wawe waangalifu wasije kutekwa kabla hawajafika.

Hata huo mkutano wake na waandishi unaweza kuzuiwa ili kumfichia mtu fulani aibu.

Swali la kujiuliza hapa ni je,iwapo Magu, kama mgombea, atakuwa ni mmoja wa aliewekewa pingamiza,atajitetea kama mgombea au atajitetea kwa mwanvuli wa Ofisi ya Uraisi?

Binafsi naamini sheria itamtaka ajitetetee kama wagombea wengine.

Tusubiri.
Kwani waliowekewa pingamizi wanajiteteta kwa lugha gani? na je wanaweza kutumia mawakili?
 
Sasa ruksa kampeni jamani. Tujimwage na Lissu wetu.
Tumuombee sana mungu apate kumlinda maana Bashite na cyprian Musiba wameomba fungu la kumfanyia shambulio la pili ikiwa ni njia ya Bashite kujipendekeza kwa mtukufu apate uteuzi mpya
 
ingekuwa ni saccos msingekuwa mnahangaika hivyo? Tokea lini soccos ikabambikiwa kesi kupigwa risasi kuomba wadhamini Nchi nzima na sasa mnaifanyia figisu figisu huko NECCCM
Nani anahangaika kati ya Saccos na Chama Dume? Mara mnasema eti Lipumba atamuwekea pingamizi msaliti Lissu kwa kuwa ameelekezwa na CCM baada ya kubuma hilo sasa msaliti Lissu anawawekea pingamizi Lipumba na Magufuli. Mtakapogaragazwa mtakuja na upuuzi mwingine! You ass!!
 
..tume ni wanadamu wanaweza kukosea.

..TL pia ni mwanadamu mapingamizi yake yanaweza yasiwe na uzito.

..tunaendelea kumshukuru MUNGU kwa muujiza alioufanya kumuepusha TL ni kifo cha shambulizi la watu wasiojulikana.
Wote wenye akili timamu tunashukuru mungu kwa kumwachia maisha yake.

Hila iwapo tume ndio wenye jukumu la kuhakiki na watu walienda mapema kama kuna kasoro wazifanyie kazi na wakaambiwa hakuna.

Whose to blame ata mtu akikataa rufa?
 
Angewekewa pingamizi Lissu kungekuwa na povu humu jf kwamba wanamwogopa, leo Lissu kaweka pingamizi anaonekana shujaa. Subirini kidogo mtakuja kulialia Tena .

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Kidogo hadi lini?

It's too late ndugu....

Sheria zipo kwa ajili ya wote...

Hizi ni NYAKATI na MAJIRA ya mshangao...

"....hata ulipotimia utimilifu wa wakati, kusudi la Mungu likatimia...."

Kuna kila dalili kuwa, utimilifu wa wakati wa Mungu kutimiza kusudi lake umeshatimia....

Wenye nguvu wanapigwa UPOFU wa akili na macho....

Hawaoni, hawaelewi nini kinaendelea....

Sina hakika kama utanielewa....

Ukihitaji msaada wa kuelewa, ni - tag....
 
Back
Top Bottom