Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Ni hasara sana kumkosa chenge kwenye system
Kila kitabu na zama zake. Chenge na wastaafu wenzake wapumzike wawaachie wenzao wafanyekazi. Walikuwa na wakati wao waliachwa wakatumikia, sasa wakaepembeni. Ushauri wataombwa si kulazimisha kushauri.