Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Sisi magonjwa ya akili tunachukulia poa ndio maana unakuta mdada baada ya kujifungua anapatwa na ‘postnatal depression’ badala ya kumtafutia msaada wa kitaalamu tunaita uchizi wa uzazi atajijua mwenyewe, mtoto ana maliza shule ya msingi hajui kuandika wala kusoma tunasema mbutika badala ya kufahamu hiyo ni learning disability anahitaji kufundishwa kwa mtindo mwingine etc na mambo yetu ya ovyo.Usitulazimishe kufuata Mambo ya Mabeberu!!
Na ndio kama Lissu anavyoongea tu unaona kuna psychological issues ambazo ajamalizana nazo tunamwita shujaa bila ya kufahamu asipofanikiwa mission yake hilo tatizo ambalo kwa sasa ni dogo mbeleni litakuwa kubwa zaidi bila ya kupatiwa msaada.