Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Ulishawahi wapi kusikia mapinduzi yanafanywa na mkuu wa jeshi wanaofanya mapinduzi ni macaptain,makanali wewe hao wakuu achana nao vijana wakiamua hao nao hawana ujanja.Vyombo vyote vya Dola wapo na Tundu lisu isipokuwa viongozi wa juu wale wanaojipendekeza kwa mtukufu kulinda vinua mgongo vyao
Tundu Lissu anawapa wakati mgumu sana NEC. Kama Magufuli akishinda Je watapiga chini rufaa za Chadema juu ya uharamia wa CCM????Yes, you are very right...
But all in all pingamizi limewekwa...
On the other hand, Tundu Lissu anajaribu kufunua mapungufu makubwa ya mfumo wetu wa kisheria na kikatiba unaosimamia chaguzi zetu....
It's no doubt that, Magufuli (Rais) kwa kutumia cheo chake na mamlaka yake ya "Urais" amefanya makosa na kuvunja sheria waziwazi kabisa za uchaguzi....
Kwa sababu, wote tunafahamu kuwa ni vigumu sana "Incumbent President" kutiwa hatiani hata kama amekosea...
Mimi nawaonea huruma M/kiti wa NEC na wakurugenzi wake...
They are really having a very difficult time to make decisions about this....
This is absolutely the most difficult times in their entire life...
I am sure they are throwing so much blames on this man who once died and back to life again....!!
Hili swali ndilo wanalojiuliza wana NEC haaa...
Kwanini Tundu Lissu unatuweka katika wakati mgumu hivi??
Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅
Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele
DuhUtaratibu wa mapingamizi ni kwamba MUWEKA pingamizi na MUWEKEWA pingamizi lazima wakutanishwe na Tume ya Uchaguzi ili aliyewekewa pingamizi aweze kujibu na kwa mujibu ya sheria anaeruhusiwa kujibu pingamizi ni mgombea mwenyewe hakuna anaeruhusiwa kujibu kwa niaba.
Hivi kwa akili zenu mnadhani kwamba Mgombea wa CCM ataenguliwa!
Alafu unataka tukuone nawewe ni moja ya great thinker hapa Jf?John hajui kusoma na kuandika lugha ya kingereza. Fomu zimeandikwa kwa kizungu.
Kuna sehemu anatakiwa kujaza: SEX, John katiririka ngono mwanzo mwisho
Lisu hajaribu wala hatanii kwenye suala LA sheria yuko seriousMimi nadhani Lissu ameweka pingamizi sio kwa sababu anataka Rias aenguliwe kwenye kinyang'anyiro bali ni ili aonyeshe kwamba hata kama mpinzani wako ni mkuu wa nchi, kisheria una haki ya kumpinga kulingana na vifungu vya sheria zilizopo
Mmepata size yenu k*mm*ke hahaha, mwamba ana dribble mbaya.Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
Naamini hujui kusoma.
Hebu rudia tena kusoma hapa kwa umakini,
RAIS WA TANZANIA NI MHE. DR. MAGUFULI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka mpaka watu wamenishangaa eti mabodigadi tusiowajua ila maccm hayashindwi kitu haya.
Haya ndo maajabu ya Mungu kwa kweli. Yaani Tundu Lissu anafuraha Mungu kamponya ila waliomfanyia vibaya saivi hawana raha na roho zao ziko juu juu!!!!Huyu Tundu Lissu anaonekana mwenye furaha sana kuliko hata waliompiga risasi.
Ama kweli maisha ni tofauti sana kabla na baada ya kumwaga damu ya mtu.
Shida yenu mnaishi kwa kukalili hamsomi nyakati ninyi vijanaSiyo rahisi bro
Aliyeteua tume ni nani
Aliyetengeza fomu za wagombea ni nani
Anayeratibu mchakato mzima wa uchaguzi ni nani
Nafikiri umenielewa
Tatizo la wapinzani kufeli linajulikana,
watabaki kuweweseka miaka yote na CCM inashinda Kila siku
Yes, you are very right...
But all in all pingamizi limewekwa...
On the other hand, Tundu Lissu anajaribu kufunua mapungufu makubwa ya mfumo wetu wa kisheria na kikatiba unaosimamia chaguzi zetu....
It's no doubt that, Magufuli (Rais) kwa kutumia cheo chake na mamlaka yake ya "Urais" amefanya makosa na kuvunja sheria waziwazi kabisa za uchaguzi....
Kwa sababu, wote tunafahamu kuwa ni vigumu sana "Incumbent President" kutiwa hatiani hata kama amekosea...
Mimi nawaonea huruma M/kiti wa NEC na wakurugenzi wake...
They are really having a very difficult time to make decisions about this....
This is absolutely the most difficult times in their entire life...
I am sure they are throwing so much blames on this man who once died and back to life again....!!
Hili swali ndilo wanalojiuliza wana NEC haaa...
Kwanini Tundu Lissu unatuweka katika wakati mgumu hivi??
Ameshaambiwa hajawekewa pingamizi loloteMwisho wa mapingamizi kupokelewa ni leo saa 10 alasiri. Sio?
Huenda mengine yalishapelekwa tangu majuzi.
Tume baadae itayapitia na kuyaweka hadharani.
Usije kushangaa kuwa mtu hakupingwa hata hili aliyetangaza ni mpingaji sio tume. Kuna wale hawatangazi wakijua kazi ya kutangaza mapingamizi sio yao, maana lazima yapitiwe yakidhi halafu yawe mapingamizi valid.
Si kuna wajinga hata watampinga Lisu eti anavaa miwani na ana bodguard wasio wajua? Tume itaona huu ni ujinga sio hoja . Inalitupa