Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Vyombo vyote vya Dola wapo na Tundu lisu isipokuwa viongozi wa juu wale wanaojipendekeza kwa mtukufu kulinda vinua mgongo vyao
Ulishawahi wapi kusikia mapinduzi yanafanywa na mkuu wa jeshi wanaofanya mapinduzi ni macaptain,makanali wewe hao wakuu achana nao vijana wakiamua hao nao hawana ujanja.
 
Yes, you are very right...

But all in all pingamizi limewekwa...

On the other hand, Tundu Lissu anajaribu kufunua mapungufu makubwa ya mfumo wetu wa kisheria na kikatiba unaosimamia chaguzi zetu....

It's no doubt that, Magufuli (Rais) kwa kutumia cheo chake na mamlaka yake ya "Urais" amefanya makosa na kuvunja sheria waziwazi kabisa za uchaguzi....

Kwa sababu, wote tunafahamu kuwa ni vigumu sana "Incumbent President" kutiwa hatiani hata kama amekosea...

Mimi nawaonea huruma M/kiti wa NEC na wakurugenzi wake...

They are really having a very difficult time to make decisions about this....

This is absolutely the most difficult times in their entire life...

I am sure they are throwing so much blames on this man who once died and back to life again....!!

Hili swali ndilo wanalojiuliza wana NEC haaa...

Kwanini Tundu Lissu unatuweka katika wakati mgumu hivi??
Tundu Lissu anawapa wakati mgumu sana NEC. Kama Magufuli akishinda Je watapiga chini rufaa za Chadema juu ya uharamia wa CCM????

Huyo ndo Tundu Antiphas Lissu!! Mataga wanatafutana huko 😂😂😂😂
 
Acha ndoto.. mumepinga lipi.. si kunasoma uongo mitandaoni.. hao munakimbia.. mungejua munachezeshwa dana dana na wenye akili.. musingekuwa hata munasapoti.. anaye tenda ya kiki.. kupata nyongeza ya pesa za mabeberu.. msifurahie.. muntu wa
kili ila muoga wa mahakama.. 😅😅😅😅😅

Magufuli 2020 💯 kwa kuweka historia ya milele

Kwa muandiko huu hata Mimi ningeweka pingamizi.

Alafu kuna mtu anakuita Mama. Dunia kwa vioja, Duuh
 
Utaratibu wa mapingamizi ni kwamba MUWEKA pingamizi na MUWEKEWA pingamizi lazima wakutanishwe na Tume ya Uchaguzi ili aliyewekewa pingamizi aweze kujibu na kwa mujibu ya sheria anaeruhusiwa kujibu pingamizi ni mgombea mwenyewe hakuna anaeruhusiwa kujibu kwa niaba.
Duh
 
Hivi kwa akili zenu mnadhani kwamba Mgombea wa CCM ataenguliwa!

Sidhani ataenguliwa lakini aje kujitetea au kujibu tuhuma kama sheria inavotaka. Sheria hizi hawakutengenezewa watu fulani tu.

Japo sioni maana ya pingamizi hili - kwangu kuona sheria ikifuatwa ni jambo la maana!! Je sheria hizi zinatekelezeka? Nimecheka kuona mwizi wa kuku akifungwa mwaka mzima na mwizi wa fedha za umma miezi sita!!

Huenda Lissu anapima mfumo!!
 
John hajui kusoma na kuandika lugha ya kingereza. Fomu zimeandikwa kwa kizungu.

Kuna sehemu anatakiwa kujaza: SEX, John katiririka ngono mwanzo mwisho
Alafu unataka tukuone nawewe ni moja ya great thinker hapa Jf?
 
Mimi nadhani Lissu ameweka pingamizi sio kwa sababu anataka Rias aenguliwe kwenye kinyang'anyiro bali ni ili aonyeshe kwamba hata kama mpinzani wako ni mkuu wa nchi, kisheria una haki ya kumpinga kulingana na vifungu vya sheria zilizopo
Lisu hajaribu wala hatanii kwenye suala LA sheria yuko serious
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
Mmepata size yenu k*mm*ke hahaha, mwamba ana dribble mbaya.
Jamii ipi? Hii ya forums au mtaani.
Mpaka sasa kwa wananchi neutral CCM inaonekana ina force...na ni waonevu, na ndio kituko wakurugenzi wanachoreshwa mbayaaa na mavideo ya siku hizi fasta tu.Mwisho wa siku watu watapiga kura za hasira kujibu hilo.
 
Naamini hujui kusoma.

Hebu rudia tena kusoma hapa kwa umakini,

RAIS WA TANZANIA NI MHE. DR. MAGUFULI.

Hapana...

Najua kusoma na kuandika vilevile...

Siyo hivyo tu, bali Nina MAARIFA na UFAHAMU wa kutosha...

Wewe ndiye una tatizo la "uelewa" kidogo labda...

Mjadala uliopo ni kuhusu "WAGOMBEA URAIS KTK UCHAGUZI WA MWAKA 2020"

Nani Rais hapo?

Magufuli ni mgombea, au siyo?

So, what's so difficult for you to understand the logic of the discussion?

Namalizia kukuambia hili;

Tundu Lissu kamwekea pingamizi mgombea mwenzake na siyo Rais....!!
 
Huyu Tundu Lissu anaonekana mwenye furaha sana kuliko hata waliompiga risasi.

Ama kweli maisha ni tofauti sana kabla na baada ya kumwaga damu ya mtu.
Haya ndo maajabu ya Mungu kwa kweli. Yaani Tundu Lissu anafuraha Mungu kamponya ila waliomfanyia vibaya saivi hawana raha na roho zao ziko juu juu!!!!

Dunia hiii acha tu!!!
 
Siyo rahisi bro
Aliyeteua tume ni nani
Aliyetengeza fomu za wagombea ni nani
Anayeratibu mchakato mzima wa uchaguzi ni nani
Nafikiri umenielewa
Tatizo la wapinzani kufeli linajulikana,
watabaki kuweweseka miaka yote na CCM inashinda Kila siku
Shida yenu mnaishi kwa kukalili hamsomi nyakati ninyi vijana
 
Haya wale mliokuwa mnasema Lissu kakosea kutokupeleka majina ya wadhamini kwa wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo.
iamlyenda_20200826_182213_0.jpg
 
Chadema kwa kupenda kujifurahisha bhana hahahahaha
 
Yes, you are very right...

But all in all pingamizi limewekwa...

On the other hand, Tundu Lissu anajaribu kufunua mapungufu makubwa ya mfumo wetu wa kisheria na kikatiba unaosimamia chaguzi zetu....

It's no doubt that, Magufuli (Rais) kwa kutumia cheo chake na mamlaka yake ya "Urais" amefanya makosa na kuvunja sheria waziwazi kabisa za uchaguzi....

Kwa sababu, wote tunafahamu kuwa ni vigumu sana "Incumbent President" kutiwa hatiani hata kama amekosea...

Mimi nawaonea huruma M/kiti wa NEC na wakurugenzi wake...

They are really having a very difficult time to make decisions about this....

This is absolutely the most difficult times in their entire life...

I am sure they are throwing so much blames on this man who once died and back to life again....!!

Hili swali ndilo wanalojiuliza wana NEC haaa...

Kwanini Tundu Lissu unatuweka katika wakati mgumu hivi??

Walipo kubali kazi hii ya kiapo walijua kilicho mbele ya kazi. Usiwasemee unless wanekutuma kuwasemea.

Lakini ni muhimu wapewe back room staffs wanaojielewa. Jaji hatakiwi hata kubeba karatasi. Mfano mzuri tuliona kwa Jaji Lubuva 2015. Hata kiti hagusi, wako watu nyuma yake kwa kazi hiyo wanao hakikisha anasoma mpaka nukta na komma.
 
Mwisho wa mapingamizi kupokelewa ni leo saa 10 alasiri. Sio?

Huenda mengine yalishapelekwa tangu majuzi.

Tume baadae itayapitia na kuyaweka hadharani.
Usije kushangaa kuwa mtu hakupingwa hata hili aliyetangaza ni mpingaji sio tume. Kuna wale hawatangazi wakijua kazi ya kutangaza mapingamizi sio yao, maana lazima yapitiwe yakidhi halafu yawe mapingamizi valid.

Si kuna wajinga hata watampinga Lisu eti anavaa miwani na ana bodguard wasio wajua? Tume itaona huu ni ujinga sio hoja . Inalitupa
Ameshaambiwa hajawekewa pingamizi lolote
 
Sasa mbona mnatoa hadithi nusu nusu. Wameweka pingamizi kwa vigezo gani? Ushahidi gani upo ili mahakama ya hadharani ianze kuwashinikiza NEC?

Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom