Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)



someone offered his own mother to a stranger in exchange for a Hen ,was that not abnormal psychology ?
 
Uwezo wa akili zenu huwa unanishangaza sana, si ajabu tafiti zinaonesha CCM ni Chama kinachopendwa na Wajinga na watu wasio na Elimu
 

naweza kukubaliana na wewe kwamba matatizo ya Lissu ni moderate,lakini usisahau yule mwenzie yake ni critical kabisa
 
Sasa mbona mnatoa hadithi nusu nusu. Wameweka pingamizi kwa vigezo gani? Ushahidi gani upo ili mahakama ya hadharani ianze kuwashinikiza NEC?

Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
Eti sijui miwani iko upande na sikio moja halionekani.

Huyu kesi anapenda mpaka nacheka sana.

Kwahiyo hapo ni tofasri ya passportsize.
Najua hata ya kwake na mgombea mwenza hazifanani, wala wabunge na madiwani wake wote
 
Na amewaweka kweli kwenye wakati mgumu sana sana
 
View attachment 1548880
someone offered his own mother to a stranger in exchange for a Hen ,was that not abnormal psychology ?
You need to tie abnoramality with its root causes, rate the individual coping mechanism of the patient based on his upbringing as each psychological condition has it trigger; it could one or more.

Understanding that allows you to design an appropriate behaviour modification approach.

Sasa wewe unaenda ku google halafu unakimbilia Wikipedia ambayo aiwezi kukupa picha nzuri kuhusu abnormality psychology.

Just get Lissu some help.

Jioni njema.
 
Namsikiliza hapa genius wetu Tundu Lissu akitudadavulia mapingamizi aliyoyaweka. We need you TL, hicho kichwa inabidi kitusaidia kuweka sawa hii nchi. #NiYeye2020
Unamsikiliza wapi ndugu. Embu niambie na mimi nimsikilize shujaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…