Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Akili zetu zitakushangaza zidi siku tatu baada ya oktoba 28
Akili mbovu hadi mgombea anaweka picha ya hovyo badala ya kuweka picha inayoelekezwa na Tume hovyo kabisa, eti PhD, hata kanuni za Uchaguzi hajazisoma na wasaidizi wake akina Bashiru nao yapo yapo tu hayamsaidii mgombea huku Wanajua ni Kilaza
 
mbona hao 22 wenzao wa upinzani walienguliwa vilevile na wakabaki peke yao na kupitishwa bila kupingwa!

What goes around comes around
Wale walienguliwa wakati wanarudisha foomu. Hawa wawili ilikuwaje mwanasheria nguli, jaji Kaijage alipokea fomu zao na akazipitisha baada ya kuzikagua?
 
Hii ni Tanzania siyo Lesotho.
 
Mbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!

Huyu Lisu anapenda kiki!
Ndio tatizo lenu yaani huwa ni kukurupuka tu kama vile unaoga nje!! Hujui hata utaratibu wa kuweka pingamizi, eti wameyapeleka kimya kimya!!! Huwezi jiuliza kwanini lisu amesubilia hadi 16.05,.ndio akajirizisha kuwa yupo salama hakuna pingamizi?!! Muwe mnatumia hata hiyo asilimia 0.0000001,ya akili mliyobakiziwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…