MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 430
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hii mijamaa yanajiona yao ndio kila kitu,wengine nchi hii sio yao!Kama wanapata maumivu makali JPM kuondolewa basi wabunge 22 warejeshwe.
Baada ya oktoba lisu atakimbilia kwa beberu wake amsterdamKama wewe una mabwana zako ambao ukishindwa unawakimbilia, basi kila mtu siyo wewe!
Akili mbovu hadi mgombea anaweka picha ya hovyo badala ya kuweka picha inayoelekezwa na Tume hovyo kabisa, eti PhD, hata kanuni za Uchaguzi hajazisoma na wasaidizi wake akina Bashiru nao yapo yapo tu hayamsaidii mgombea huku Wanajua ni KilazaAkili zetu zitakushangaza zidi siku tatu baada ya oktoba 28
Wale walienguliwa wakati wanarudisha foomu. Hawa wawili ilikuwaje mwanasheria nguli, jaji Kaijage alipokea fomu zao na akazipitisha baada ya kuzikagua?mbona hao 22 wenzao wa upinzani walienguliwa vilevile na wakabaki peke yao na kupitishwa bila kupingwa!
What goes around comes around
Hii ni Tanzania siyo Lesotho.Ni dhahiri kuwa hoja zimewakaukia ndugu zangu.
Acheni kuendelea kujidanganya msije mkawa mnatetea aina za Chief Lebua Jonathan(Lesotho) aliyekuwa Waziri Mkuu.
Mwaka 1970 akiwa mgombea (alie madarakani) alipoona dalili kuwa uchaguzi haumwendei vizuri akaamua kuufuta, kusimamisha katiba na kumuondoa Mfalme Sobhuza II aliekua pia mkuu wa nchi.
Kwanini asikimbie Sasa hivi? Sasa hivi Hamna bunduki zenu na mapanga?Baada ya oktoba lisu atakimbilia kwa beberu wake amsterdam
TULIA DAWA IKUINGIE KAKAWale walienguliwa wakati wanarudisha foomu. Hawa wawili ilikuwaje mwanasheria nguli, jaji Kaijage alipokea fomu zao na akazipitisha baada ya kuzikagua?
Ndio tatizo lenu yaani huwa ni kukurupuka tu kama vile unaoga nje!! Hujui hata utaratibu wa kuweka pingamizi, eti wameyapeleka kimya kimya!!! Huwezi jiuliza kwanini lisu amesubilia hadi 16.05,.ndio akajirizisha kuwa yupo salama hakuna pingamizi?!! Muwe mnatumia hata hiyo asilimia 0.0000001,ya akili mliyobakiziwa!!Mbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!
Huyu Lisu anapenda kiki!
Nyie mtapata akili kuanzia oktoba 28 sasa hivi mmeshazikabidhi kwa Lisu azitumieHahaha Meko ana hali mbaya sana kwa kweli
Anachafua amani kivipi mkuu?Anazo pesa za mabeberu sasa akichafua amani wao ndio wanamuongezea dau kwa hyo anatafuta mihemuko wkt wote ili akiwakishe ndio yeye aonekane nafanya kazi.
Lisu baada ya oktoba atakimbilia kwa beberu wake amsterdamMabwana zake wapi wale wanaokutia vidole huko nyuma au
Sent from my Infinix HOT 4 Pro using JamiiForums mobile app
Tulia dawa ikuingie vizuri. Mtajua hamjui mwaka huuNyie mtapata akili kuanzia oktoba 28 sasa hivi mmeshazikabidhi kwa Lisu azitumie
Huyo ndio Tundu Lisu nampa Hongera Mama yake.Hadi raha
Ndio maana wana haramu walione Dawa ni kumuuwa maana huyu jamaa ndio Mwafrika mwenye IQ kubwa zaidi barani Afrika na wapo karibu kutoweka Maana wana windwa sana na maharamia!Haya wale mliokuwa mnasema Lissu kakosea kutokupeleka majina ya wadhamini kwa wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo.
View attachment 1548879
alikuwa na press conference, kama una clip please tuwekee hapaHadi raha
Subiri baada ya oktoba utaambatana na Lisu kukimbilia kwa yulee beberu wenuHuyo muuaji na mkabila aliyeharibu uchumi wetu ndo shujaaa????
Hii in mpya kabisaLissu has done the unthinkable. CCM hawakuiona hiyo inakuja .... NEC ndiyo mkombozi wao!!