Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Heeeeee it's seriously or fake account
IMG-20200826-WA0025.jpg


Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Akili zetu zitakushangaza zidi siku tatu baada ya oktoba 28
Akili mbovu hadi mgombea anaweka picha ya hovyo badala ya kuweka picha inayoelekezwa na Tume hovyo kabisa, eti PhD, hata kanuni za Uchaguzi hajazisoma na wasaidizi wake akina Bashiru nao yapo yapo tu hayamsaidii mgombea huku Wanajua ni Kilaza
 
mbona hao 22 wenzao wa upinzani walienguliwa vilevile na wakabaki peke yao na kupitishwa bila kupingwa!

What goes around comes around
Wale walienguliwa wakati wanarudisha foomu. Hawa wawili ilikuwaje mwanasheria nguli, jaji Kaijage alipokea fomu zao na akazipitisha baada ya kuzikagua?
 
Ni dhahiri kuwa hoja zimewakaukia ndugu zangu.
Acheni kuendelea kujidanganya msije mkawa mnatetea aina za Chief Lebua Jonathan(Lesotho) aliyekuwa Waziri Mkuu.
Mwaka 1970 akiwa mgombea (alie madarakani) alipoona dalili kuwa uchaguzi haumwendei vizuri akaamua kuufuta, kusimamisha katiba na kumuondoa Mfalme Sobhuza II aliekua pia mkuu wa nchi.
Hii ni Tanzania siyo Lesotho.
 
Mbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!

Huyu Lisu anapenda kiki!
Ndio tatizo lenu yaani huwa ni kukurupuka tu kama vile unaoga nje!! Hujui hata utaratibu wa kuweka pingamizi, eti wameyapeleka kimya kimya!!! Huwezi jiuliza kwanini lisu amesubilia hadi 16.05,.ndio akajirizisha kuwa yupo salama hakuna pingamizi?!! Muwe mnatumia hata hiyo asilimia 0.0000001,ya akili mliyobakiziwa!!
 
Back
Top Bottom