Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Ukiona hivyo,uje nae wamemuwekea pingamizi hivyo hii ni hatua mojawapo ya kujihami.

Wakitaka kumuengua,basi nao hao wengine(hasa Mfalme) nao waenguliwe na hapo ndio patakuwa pagumu na kwahiyo mchezo utaishia hapo.
Kabisa wao kama wanajifanya wajuaji basi chadema wajuaji zaidi ,kama wakimuwekea pingamizi lissu na chadema wamemuwekea MECCO pingamizi ,wakimuengua lissu na membe basi na ChaPOMBE aenguliwe ,Mpambano ubakie kati ya SPUNDA wa Ubwabwa na MAISHAMAPYA MCHUNGUZI.
 
😂😂😂
 
Kilichotokea kimetokea nani kafanya binafsi sijui. Sasa aina maana Lissu asikamilishe matibabu yake ya kiakili ili aweze endelea na maisha yake without mental torture.

..kwa vyovyote vile aliyeondoa ulinzi area D, dodoma, eneo aliposhambuliwa tundu lissu, ni mtu mwenye madaraka makubwa.
 
ccm yenyewe ina imani kwa binadamu wote Sawa, hii imani yako na lugola kwamba kuna yesu wenu mpya, ambaye yeye ni bora kuliko wengine sijui mmeipata wapi! Wewe mwenyewe Upo equal kabisa na Mh. Raisi, tofauti ni majukumu tu, lakini hakuna mtu spesho!
 
Anazo pesa za mabeberu sasa akichafua amani wao ndio wanamuongezea dau kwa hyo anatafuta mihemuko wkt wote ili akiwakishe ndio yeye aonekane nafanya kazi.
 
Wee kilaza kweli CCM ndio wanaitakia nchi yetu mema eti
 
KUSHACHOKA KUSHANGIRIA WABUNGE WAKO WA VITI MAALUM MULIO WATANGAAZA JANA AKINA NAPE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…