Nashauri angeacha tu, kwa kuwa yeye hajawekewa angetulia
Wawekewe kama wamekiuka wanaachwa ili iweje mbona wabunge wameenguliwa ngoja kupiga kichwani kabisa ndipo wataiondoa hiyo sheria baada ya kuona madhara yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri angeacha tu, kwa kuwa yeye hajawekewa angetulia
Huyo bwege aliyesimama karibu na mlangoni linaonekanàa ni li CCM Sio kwa kumuangalia kwa jicho hilo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1548721View attachment 1548722View attachment 1548724
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
UsichekesheMara paaap Ji we kaondolewa kuwa mgombea
Uzuri wa Lissu watu wengi bado hawajamuelewa yeye siku zote uwa anapenda haki, sheria ifuatwe na haki itendeke.
Ujanja ujanja kwake no Ni kusimamia ukweli.
Ni nani huyo anayewekewa pingamizi? Mmefumba mnoYule aliyekosea kujaza fomu na ni PhD tena mweshimiwa na akiwa majukwaani anaona wengine wote ni vilaza wa nchi
Subiri hapo hapo, NohateNofearKibao kikigeuka useme hivyo hivyo bwashee!
Lissu hatanii. He mean businessMimi naona angepotezea tu kikajulikane huko field mbivu na mbichi
Uchaguzi raha yake HOJA si chuki na mabavu, kuweka pingamizi ni jambo la kisheria kama umeona mapungufu, Lissu go on we are together with you.Mimi naona angepotezea tu kikajulikane huko field mbivu na mbichi
Mwenyekiti wako hajui kujaza fomuMbona wenzie wamepeleka mapingamizi kimya kimya!
Huyu Lisu anapenda kiki!