Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
Nawewe hunizidiHunizidi mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawewe hunizidiHunizidi mimi
I am non-partisan my friend
Aiseee we jamaa pumzika tu. Naona Lissu kakuchanganya hadi unataka kuvua nguo 😂😂You need tie abnoramality with its root causes, rate the individual coping mechanism as each psychological condition has it trigger it could one or more.
Understanding that allows you to appropriate behaviour modification approach.
Sasa wewe unaenda ku google halafu unakimbilia Wikipedia ambayo aiwezi kukupa picha nzuri.
Just get Lissu some help.
Jioni njema.
Limetupwaje??? Wamesikilizwa???Pingamizi la Lissu latupwa nje. Tukutane field
Shujaa ni mmoja tu kwa sasa wa taifa hili. Ni JPMUnamsikiliza wapi ndugu. Embu niambie na mimi nimsikilize shujaaa
Huyo muuaji na mkabila aliyeharibu uchumi wetu ndo shujaaa????Shujaa ni mmoja tu kwa sasa wa taifa hili. Ni JPM
Haaaa! Duh!Ccm wamekaba koo, chadema wameshika punmbu... nani ataachia. Hahahahaha
Kusikilizwa na nani? Pingamizi halina maana. Lisu alikuwa na nia ya kujijenga kisiasa tu. KaumbukaLimetupwaje??? Wamesikilizwa???
Wamekosea vipi mkuu?Mnapo kosea CHADEMA ni hapo hapo na huwa mnafeli kweli kweli tena kwa aibu kuu.
Bila bilaPingamizi la Lissu latupwa nje. Tukutane field
Jana walikuwa wanashangalia kwa ufedhuli wa kumweka Lissu masaa 5 akisubiri. Leo ghafla wamepata tumbo la kuhara!
Taratibu la pingamizi ni kuwa aliyewekewa anatakiwa kulijibu!! Sasa litaondolewaje bila muhusika kulijibu???Kusikilizwa na nani? Pingamizi halina maana. Lisu alikuwa na nia ya kujijenga kisiasa tu. Kaumbuka
Kakuua wewe? Narudia tena shujaa pekee ni JPM. Huyo mnayemshabikia atashindwa kwa mbali na atakimbilia tena kwa mabwana zakeHuyo muuaji na mkabila aliyeharibu uchumi wetu ndo shujaaa????
Hakuna wa kupambana na jpm nje ya lissu, hakunaaaLisu ni Saizi kabisa ya Magufuli. Akipiga ya Jicho piga ya Sikio akiuliza unaonaje muulize unajisikiaje.
Mtakimbia nyie mwaka huu!!! Kwani Mawazo alphonce kauliwa na Nani??? Ben Saanane aliyekuwa anahoji phd ya huyo JPM kauliwa na nani????Kakuua wewe? Narudia tena shujaa pekee ni JPM. Huyo mnayemshabikia atashindwa kwa mbali na atakimbilia tena kwa mabwana zake
Kwa ushujaa gani?Kakuua wewe? Narudia tena shujaa pekee ni JPM. Huyo mnayemshabikia atashindwa kwa mbali na atakimbilia tena kwa mabwana zake
Naona CCM wanafurahia pingamizi la mgombea wao Huku DarTaratibu la pingamizi ni kuwa aliyewekewa anatakiwa kulijibu!! Sasa litaondolewaje bila muhusika kulijibu???