Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

You need tie abnoramality with its root causes, rate the individual coping mechanism as each psychological condition has it trigger it could one or more.

Understanding that allows you to appropriate behaviour modification approach.

Sasa wewe unaenda ku google halafu unakimbilia Wikipedia ambayo aiwezi kukupa picha nzuri.

Just get Lissu some help.

Jioni njema.
Aiseee we jamaa pumzika tu. Naona Lissu kakuchanganya hadi unataka kuvua nguo 😂😂
 
Aiseeeee.....

Nimesoma Comments Za Watu Weeee Nimeishia Kucheka..Kuchekaaaaa.....

Yaani Watu Hawawajibu Wenzao Hoja.....Bali Argumentum Ad Hominem,petty answers,illogical responses,Misinterpretations,Utoto,Ushabiki wa Kizwazwa,Majibu Yasiyokuwepo kwenye MADA aaagh Kama Tuko FB banaaaa😁😁😁

All And All KILA SIKU KUNA CHA KUJIFUNZA....kwa Yule atakaye!!!
 
Back
Top Bottom