Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

Ila chadema wapunguze kuomba omba wanakuwa omba omba kwani pesa wanayopewa na serikali kwa ajili ya kuendesha chama huwa inaenda wapi inafanha kazi gani?
Watafute wachumi bingwa na wataalam wa fedha wawashauri na ya kupata fedha bila vikwazo na kwa njia halali. Government Bond, UTT, nk
 
Hivi chadema ikiwa na wanachama milioni moja..kila mmoja akichanga hata 1500 kwa mwezi..si ni hela ya kutosha??
 
Wewe uliiona Chadema ndio Mbowe na Mbowe ndio Chadema.....
Msiishie kusema hadi mnarusha mate hadi mnatokwa ute changieni chama sio mnaikisa matumbo mnaacha wajumbe wanashalilika mahotelini
 
Ukweli mchungu ni Kwamba CHADEMA ilikua bado sana kuishi bila Mbowe…. Muda ni msemo Kweli tutajionea…. Nyie wanaharakati uchwara na wapumbavu ndo mtaiua CDM
Wanaume woga mnawatis nuksi wanaume wenzenu..wewe hofu yako iko angle gani? Khaa
 

Chama kinaweza kabisa kwenda kwa michango wakijipanga.

1. Diaspora wana pesa nyingi na wanapenda demokrasia. Chadema ikijipanga na kusema wachangiwe pesa ya kupigania katiba mtaona michango mingi sana. Mimi na rafiki zangu mfano hapa diaspora tunaweza kuchangia lakini tunasubiri tuone mpango kamili ili tusaidie taifa letu.
2. Misaada ya vyama rafiki. Kama wakionyesha uadilifu na matumizi mazuri vyama rafiki vingi Duniani vipo tayari kuchangia hasa wakiweka mipango mizuri na kuwa wawazi. CCM inasaidia sana na Chama cha Kijamaa cha china! kwa mfano
3. Watanzania kwa njia ya digital card. Yaani card za mitandao na kwasasa watanzania wengi wana matumaini


Chadema kwa mpango wa mbali wanatakiwa wawe na account na wanumue Bondo za Tsh10B amabzo zinalipa 10%-14% kwa mwaka. Hili fungu likuwe mpaka Tsh30B
 
Kumbuka hao 48% wengi wao walihongwa hivyo hawakuwa na mapenzi ya dhati moyoni
 
Ukweli mchungu ni Kwamba CHADEMA ilikua bado sana kuishi bila Mbowe…. Muda ni msemo Kweli tutajionea…. Nyie wanaharakati uchwara na wapumbavu ndo mtaiua CDM
Pole sana manka, kama mmeumia Mbowe kushindwa hameni chama.
 
Kumbe mlikua mnachangia na huku chama kikiongozwa na Tajiri Mbowe, acha na sisi tutachangia bukubuku kwa sababu kinaongozwa na mbangaizaji mwenzetu. Wengine tulidhani kipindi kinaendeshwa na Billionea watu walikua hawachangii!!.
 
Mbowe 🐼

Halafu usiwe mjinga hiyo 48% ni Watu 500 tu 😂
Hujasoma statistics, this is a representative sample....sampling...wewe ni kama ule mgomba unaoitwa Juma Mhuni, unadanganya sana kujifanya nao unatoa ndizi kume ni ndizi mhuni tu...KAMA WEWE

Sampling in research is the process of selecting a smaller group (called a "sample") from a larger population to participate in a study, allowing researchers to make inferences about the entire population by studying a manageable subset when it's impractical to examine everyone within that population.
 
YOUR WISHES ANYWAY! DIASPORA WANA HELA GANI, WAKO WANGAPI CHADEMA AU SPCES NDIZO ZINAKUPOTEZA
 
Uko sahihi isipokuwa kwenye suala LA CCM, Lissu alidhani kuongoza chama ni walk in the park, aka wa anamtukana Mbowe alipokuwa anakopa mahali tofauti ili chama kijiendeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…