PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Bila shaka wewe ni mfupi wa kimo, na wafupi siku zote mna matatizo, akili zenu ni fupi vile vile

Sikulaumu
Mwenye ndefu utakuwepo??? Au anachangamsha kijiwe af unatuandikia vimemo kama mwenzako
 
Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Aliyesema hakutakuwa na nywi nywi nywi ndio kawakaanga, maana hadi yule sheikh aliyemuombea dua pia hakubaki salama.
 
Kuingia barabarani lengo ni kufikisha mwisho wa mauaji yasiyokoma kwenye uchaguzi. No gain no pain. Nakuuliza tena, kuna popote kiongozi wa cdm kashika silaha kuuwa mwananchi? Hao walioua waliua zaidi maana walitegemea watu wataendelea kuuliwa kila siku. Sasa imefika mwisho, na bado hatua kali za wote waliosababisha mauji zitachukuliwa.

Na ninapenda kukuhakikishia, tutafanya jambo la kihistoria na itakuwa mwisho wa unyama huu uliokuwa ndani ya nchi hii. Na huo ndio utakuwa mwisho wa ccm, hali kadhalika na utamaduni wa chama kimoja kukaa madarani muda mrefu, tena bila ridhaa ya umma.
 
Siku hizi mnafanya uchaguzi kwenda mbinguni sio kumuabudu mungu yesu tena
 
Aliyesema hakutakuwa na nywi nywi nywi ndio kawakaanga, maana hadi yule sheikh aliyemuombea dua pia hakubaki salama.
Kwani huyo hakuwepo enzi za mbowe? Badala yake mwamba akaambiwa kalamba asali na tukaambiwa mwaka huu hakutakuwa na mwanachadema atakaemwaga damu maana hatushiriki uchaguzi bila reforms kilichotokea sasa
 
Kwani kipindi cha mbowe yeye aliwapiga lisasi wale waliompambania ili awe mbunge wa hai? Elewa hoja mimi hapa siongelei ccm naongelea chadema ya mbowe na lissu
 
Siku hizi mnafanya uchaguzi kwenda mbinguni sio kumuabudu mungu yesu tena
Kwani walioko huko kanisani ni wajinga wasiojua lolote? Walipokuwa wakipewa elimu ya ukimwi huko kanisani waliacha kumuabudu Mungu? Ni jamii gani isiyojadili mazingira yao, au wao ni maroboti wa kumuabudu Mungu tu bila kujua lolote nje ya huyo Mungu?
 
Kuna kinachofanyika huko sikuhizi zaidi ya siasa kweli? Maana kinasikika maridhiano tu na uchaguzi imekuwa ndio ibada za wakatoliki
 
Wajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa sasa maana dini haitajwi tena makanisani mwao ni uchaguzi tu
Wakishajisajili watakuwa huru kuongea hayo wanayotaka kuongea au pia wakiongea viongozi wao watakamatwa na chama chao kitazuiliwa kufanya siasa?
 
Kwani huyo hakuwepo enzi za mbowe? Badala yake mwamba akaambiwa kalamba asali na tukaambiwa mwaka huu hakutakuwa na mwanachadema atakaemwaga damu maana hatushiriki uchaguzi bila reforms kilichotokea sasa
Kilichotokea aulizwe aliyesema hakutakuwa na nywi nywi nywi na akawaambia watu watoke waende kupiga kura akawahakikishia usalama yeye kama Amiri jeshi mkuu, ila mwisho wa siku hilo jeshi lake likauwa watu bila kujali ulikuwa unaandama au umetoka kupiga kura na wote aliyowauwa anawahesabu kuwa ni vibaka tu.

Sasa hapo nani kawaingiza wenzie chaka?
 
Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Kawaingizaje wafuasi wa chadema wakati hata uchaguzi hawakushiriki? Na viongozi wote wa juu walikuwa ndani? Na hawakutoa kauli yeyote ile acheni kuwasingizia chadema Kwa maovu yenu.
 
Naam naam nashukuru sana
 
Mnataka kujimilikisha siasa?Siasa inagusa maisha ya kila mtu bei ya petrol ikipanda haijali wewe ni wa dini gani au chama gani acheni upumbavu
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
 
Wakishajisajili watakuwa huru kuongea hayo wanayotaka kuongea au pia wakiongea viongozi wao watakamatwa na chama chao kitazuiliwa kufanya siasa?
Wajilasmishe kabisa kuwa wanasiasa sio kutumia mwamvuli wa dini
 
Alooh wewe kichwa chako ni kigumu Sana kuelewa sasa kwenye hii hoja yangu raisi anahusikaje au ccm kwa ujumla inahusikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…