Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

Hivi huyu bwana anatoa wapi moral authority ya kusema analihutubia taifa? Taifa gani linalohutubiwa na huyu bwana,ubeligiji, Tanzania au Kenya maana kwa Mara ya mwisho alikuja akaishia Kenya?

Hivi taifa linaweza hutubiwa na yeyote? Hata Mimi mwalimu niliyeko huku mpigamiti - Liwale naweza toa alert kuwa Leo watu wawe makini kunisikiliza kwani nitahutubia taifa!?

Serikali iwe makini na huyu mtu,hafai kabisa,anapenda kujipa mamlaka ambayo si ya kwakwe.

By the way Mr Robert Amsterdam hajambo huko ubeligiji?
 

Hata Masanja anahutubiaga; Kama hutaki msikiliza mfuatiliye mkeo kuna njemba yupo naye!
 
Wewe kama huko interested usimsikilize

Lakini sisi tulio wengi tuta-tune Live matangazo hayo
 
Ndio ataliutubia taifa , kanywe sum, kwamba kwenye taifa mtu wa kuutubia taifa ni Rais, kuhutubia taifa means una Jambo muhim la kushere na wenye nchi au wenyetaifa, hata wewe unaweza Ili Hali unalojambo muhim la kushare ,sio mipasho n.k
 
Kuna siku nchi utapigwa mnada na wewe utauzwa
 
Anataka kuiomba msamaha familia ya mwl Nyerere na watanzania kwa ujumla, au anataka kuendeleza mashambulizi kwa yule mmanyema na mchumia tumbo wa Kigoma ujiji ndugu mzito kabwela?
 
Upende usipende atalihutubia taifa yule muuaji mwenzenu aliyekuwa analindwa na mabunduki makubwa na kuwa na kiburi Cha uzima na kujijikinai, hakupenda pia kumuona huyu mwamba Tundu Lissu akilihutubia taifa Kama wewe, lakini Mungu ndio mlinzi wa kweli, sasahivi lile nduli la taifa naambiwa hapa na malaika lipo mikono salama huko kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…