Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Virtual president siyo?Tulia Rais anaunguruma!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Virtual president siyo?Tulia Rais anaunguruma!!!
Zulumati wa NSSF roho mbaya....Mgombea Urais huyu, wakati nchi ikiwa kwenye mgogoro mkubwa na makampuni giants ya madini duniani yeye alikuwa kutwa kucha kwenya media akipingana na msimamo wa serikali pamoja na kuitisha dola....
Mgombea Urais huyu akaenda mbali zaidi na kuwa anaomba documents muhimu kwa haya makampuni kupitia watendaji wake ili tu apate namna ya kuipinga Serikali yake iliyokuwa ikijaribu kupigania maslahi ya watu wake...hili lilisemwa live na mkuu wa nchi kwenye hotuba juu ya watu hawa waliokuwa wakizunguka huku na kule kuikwamisha nchi... (nimemnukuu)..
Tunawezaje kumuamini mtu kama huyu na kumkabidhi dola..?
Taifa ni la wanachama,wakereketwa,wadadisi na wahuni.Hivi analihutubia taifa au anahutubia wanachadema?
He died (as) an African hero... Move on.Ni heri nimsikilize Lissu mtu mwenye akili timamu kuliko yule mwehu ambaye kauli yake ya mwisho kabla hajakata roho ni👇
"Kaa na mavi yako nyumbani"
Tundu lisu ana akili gani aliwahi kulifanyia nini taifaNi heri nimsikilize Lissu mtu mwenye akili timamu kuliko yule mwehu ambaye kauli yake ya mwisho kabla hajakata roho ni[emoji116]
"Kaa na mavi yako nyumbani"
Hivi mtu yeyote anaweza kukurupuka na kusema nalihutubia taifa. Who is Lisu in our countryKwaiyo akiutubia Taifa inakuumanini kwani lazima umsikilize?
Huyu ndo Raisi Samia hajapigiwa kuraMgombea Urais huyu alitutangazia kifo cha Rais wetu mpendwa tena mpaka ugonjwa uliomuua ilihali dola ilikuwa bado haijaamua kutuambia....
Wasiojua protocal, anapokufa Rais wa nchi huwezi tu kutangaza hovyohovyo harakaharaka maana kifo ni kitu cha ghafla na kwa wakati huo lazima dola ijipange kwanza kwa kuweka mambo sawa...Rais ni kiongozi wa dola, anapokufa lazima watu waitane kwanza waweke mambo sawa na kuset utaratibu na kuinform inner circle yote juu ya mipango na utaratibu...
Mgombea Urais huyu akatutangazia Kifo cha Mlinzi wa Rais Marehemu JPM na ugonjwa wake uliomuua tena kwenye media kubwa kabisa duniani BBC, ilihali huyu mlinzi alikuwa hai na mzima wa Afya kabisa..
Tunaweza kumuamini mtu kama huyu, eti tumpigie kura na kumpa dola...?
Ila yule aliyeongopa mchana kweupe tena msikitini mnampigia makofi kila kukicha
Vp umeshapewa ile Noah aliyowaahidi yule kubwa la maadui????
Huyu alishinda uraisi, magufuli akwamwibia kura, tukamwambia nenda kapumuzike huko ubelgiji Ili tushughulike na na huyu mwizi, mwezi march tare 9 tukahitimisha kaxi takatifu, tukisubiria kilio na simanzi kwa vibaraka. Mwamba atarudi kuchukua nchi yake soonHivi huyu bwana anatoa wapi moral authority ya kusema analihutubia taifa? Taifa gani linalohutubiwa na huyu bwana,ubeligiji, Tanzania au Kenya maana kwa Mara ya mwisho alikuja akaishia Kenya?
Hivi taifa linaweza hutubiwa na yeyeto? Hata Mimi mwalimu niliyeko huku mpigamiti - Liwale naweza toa alert kuwa Leo watu wawe makini kunisikiliza kwani nitahutubia taifa!?
Serikali iwe makini na huyu mtu,hafai kabisa,anapenda kujipa mamlaka ambayo si ya kwakwe.
By the way Mr Robert Amsterdam hajambo huko ubeligiji?
Taifa Dogo huyo kapigwa kuraHivi analihutubia taifa au anahutubia wanachadema?
Kama yule kubwa la maadui pamoja na uboovu wa matendo na kauli zake amekuwa Rais japo kwa wizi nan atashindwa????
Et anamwambia mtu bak na mav yako nyumban na niny mazumbukuku mnashangulia tu
utendaji wake uliotukuka ndio ulifanya wanaCCM pale dodoma kumpa nafasi hiyo out of many candidates.... utendaji wake wa kazi kuanzia akiwa naibu waziri na waziri ndio ulimbeba..
Ukiondoa mapungufu yake kama binadamu wengine, (mimi, wewe na LISSU) jamaa amepiga kazi kubwa kwa muda mfupi....
Atatumia Twitter au Youtube??
Kwa akili yako unafikiri kwa nini nchi haikuchukuliwa mwaka 2010, 2015 na 2020?matumaini ya kuichukua nchi 2025 ni makubwa mno..