Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Ataongea kwenye social media
Kulihutubia taifa is different sana mkuu
Btw, siku hizi it’s about him…. Atajiongelea yeye weeeeee hadi muda uishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataongea kwenye social media
Si mlisema hamshiriki uchaguzi wowote kwa tume/katiba hiimatumaini ya kuichukua nchi 2025 ni makubwa mno, wapenda haki wote wanaiunga mkono CDM bila kujali wanatokea chama gani.
Unauliza bila kushirikisha medulla oblongata yako. Kwani wanachadema wanaishi wapi. Si kwenye taifa la Tanzania au? Usituletee mambo ya nzi wa kijani hapa.Hivi analihutubia taifa au anahutubia wanachadema?
Una akili mpaka zinapitiliza ujuwe!Nje ya mada; hivi masikio ya mh. Ndiyo yalivyo kwa sasa?
Taaluma yake inamtaka kufanya hivyo Achana na hiyo nafasi ya umakamu mwenyekiti, Mlitaka kumuua kwa Kutumia Mali zetu hamkujitafakari Enyi MadhalimuHivi huyu bwana anatoa wapi moral authority ya kusema analihutubia taifa? Taifa gani linalohutubiwa na huyu bwana,ubeligiji, Tanzania au Kenya maana kwa Mara ya mwisho alikuja akaishia Kenya?
Hivi taifa linaweza hutubiwa na yeyeto? Hata Mimi mwalimu niliyeko huku mpigamiti - Liwale naweza toa alert kuwa Leo watu wawe makini kunisikiliza kwani nitahutubia taifa!?
Serikali iwe makini na huyu mtu,hafai kabisa,anapenda kujipa mamlaka ambayo si ya kwakwe.
By the way Mr Robert Amsterdam hajambo huko ubeligiji?
Mtu mwenye akili hasiye na touch na wananchi.Angalau nchi hii tumsikie mtu mwenye akili akiongea.
Maana kila siku mara Job, mama bi tarabushii...!
Sijui kama nisahihi kusema "TUNDU ATAHUTUBIA TAIFA", ila ni sawa kusema atazungumza na chombo/ vyombo vya habari. Kuhutubia taifa si lazima si lazima upate ruhusa au uwe na hiyo vote?Kuna siku nchi utapigwa mnada na wewe utauzwa
Yan mtu yuko ubelgiji antuhutubia SisiHivi huyu bwana anatoa wapi moral authority ya kusema analihutubia taifa? Taifa gani linalohutubiwa na huyu bwana,ubeligiji, Tanzania au Kenya maana kwa Mara ya mwisho alikuja akaishia Kenya?
Hivi taifa linaweza hutubiwa na yeyeto? Hata Mimi mwalimu niliyeko huku mpigamiti - Liwale naweza toa alert kuwa Leo watu wawe makini kunisikiliza kwani nitahutubia taifa!?
Serikali iwe makini na huyu mtu,hafai kabisa,anapenda kujipa mamlaka ambayo si ya kwakwe.
By the way Mr Robert Amsterdam hajambo huko ubeligiji?
Mgombea Urais huyu alitutangazia kifo cha Rais wetu mpendwa tena mpaka ugonjwa uliomuua ilihali dola ilikuwa bado haijaamua kutuambia....
Wasiojua protocal, anapokufa Rais wa nchi huwezi tu kutangaza hovyohovyo harakaharaka maana kifo ni kitu cha ghafla na kwa wakati huo lazima dola ijipange kwanza kwa kuweka mambo sawa...Rais ni kiongozi wa dola, anapokufa lazima watu waitane kwanza waweke mambo sawa na kuset utaratibu na kuinform inner circle yote juu ya mipango na utaratibu...
Mgombea Urais huyu akatutangazia Kifo cha Mlinzi wa Rais Marehemu JPM na ugonjwa wake uliomuua tena kwenye media kubwa kabisa duniani BBC, ilihali huyu mlinzi alikuwa hai na mzima wa Afya kabisa..
Tunaweza kumuamini mtu kama huyu, eti tumpigie kura na kumpa dola...?
Mgombea Urais huyu, wakati nchi ikiwa kwenye mgogoro mkubwa na makampuni giants ya madini duniani yeye alikuwa kutwa kucha kwenya media akipingana na msimamo wa serikali pamoja na kuitisha dola....
Mgombea Urais huyu akaenda mbali zaidi na kuwa anaomba documents muhimu kwa haya makampuni kupitia watendaji wake ili tu apate namna ya kuipinga Serikali yake iliyokuwa ikijaribu kupigania maslahi ya watu wake...hili lilisemwa live na mkuu wa nchi kwenye hotuba juu ya watu hawa waliokuwa wakizunguka huku na kule kuikwamisha nchi... (nimemnukuu)..
Tunawezaje kumuamini mtu kama huyu na kumkabidhi dola..?
Wewe ni mwalimu? So wanetu unawafundisha nini? Ujinga. Kama wewe hujui Mheshimiwa Lissu ana influence gani kwenye hii nchi basi wewe ni boya kabisa.Hivi huyu bwana anatoa wapi moral authority ya kusema analihutubia taifa? Taifa gani linalohutubiwa na huyu bwana,ubeligiji, Tanzania au Kenya maana kwa Mara ya mwisho alikuja akaishia Kenya?
Hivi taifa linaweza hutubiwa na yeyeto? Hata Mimi mwalimu niliyeko huku mpigamiti - Liwale naweza toa alert kuwa Leo watu wawe makini kunisikiliza kwani nitahutubia taifa!?
Serikali iwe makini na huyu mtu,hafai kabisa,anapenda kujipa mamlaka ambayo si ya kwakwe.
By the way Mr Robert Amsterdam hajambo huko ubeligiji?
TL inawezekana kabisa akawa ni msomi mzuri kwenye taaluma yake ya sheria na kuijua na kuidadavua sheria vyema kama taaluma yake lakini SI MTU SAHIHI KWENYE UONGOZI WOWOTE ULE ACHILIA MBALI URAIS, aendelee kuwa mwanasheria hana ethics za uongozi na haujui uongozi...URAIS sio kubwabwajabwabwaja na oyaoya..
Urais ni taasisi sio kijiwe cha kupigia soga na kufurahishana...hata kama shida ni kuitoa CCM basi tutafute mtu sahihi anayeweza kutupeleka tunakotaka na sio kuwa kama CCM au worse than CCM...
Ukiona mtu anatusi mwingine ujue kaishiwa hojaKwan umekatazwa kuongea we nguchiro????
Usijali makengeza