Don Erics
Member
- Dec 29, 2021
- 31
- 15
Wanakaribia kufika japo wako moto saanaWewe upo Ulaya haupo karibu na watanzania. Ni ngumu sana kukutilia maanani na kuacha shughuli zao kukaribisha mwaka mpya na kufuatilia hotuba yako.
Maana hotuba yako itakuwa na impact gani kwa watanzania? Wewe ni mtanzania tu unayeishi huko ubelgiji. Huna impact yoyote kwa maisha ya watanzania.
Sasa bora uungane na watanzania kusubiri hotuba ya mama Samia rais wa JMT.