UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Jamaa dish limeyumba vibaya sana tu yani hatari #dishlimetiltHuyu jamaa si mzima.....
Unalihutubia taifa kama nani ?!!! 😳😳😳😳😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa dish limeyumba vibaya sana tu yani hatari #dishlimetiltHuyu jamaa si mzima.....
Unalihutubia taifa kama nani ?!!! 😳😳😳😳😳
Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
View attachment 2062266
Mnoooo......Jamaa dish limeyumba vibaya sana tu yani hatari #dishlimetilt
Hivi huwa umeenda shule kweli? Kuondoa ukoloni na mtu kuwa na maisha bora kunaingiliana?Kwa taarifa yako hata chini vya wakoloni, kuna watanzania walikuwa na maisha bora, lakini bado tulidai uhuru bila kujali kuwa kuna watanzania wana maisha bora ndani ya huo ukoloni. Pls stop childsh arguments.
Mtamchukia sanaaa Lissu kwa sababu Hamjui hata kuunganisha dots, kilichotokea ni kwamba Mungu Katia funzo kubwa sana kwa tunaoishi,jitu lililokuwa na dhamira ya kuondoa uhai wa Lissu limekufa ilhali likiwa na ulinzi mkali, access za hospital kubwa popote duniani lingeweza kwenda, tena akiongozana na madaktari bingwa wakati wote, akajiona yeye ndiye Mungu mwenyewe kwa kuagiza/kunyamazia kuuawa kwa watu wengi chini ya utawala wake, hivyo kuishia kujiturumua na kutumia miguvu yake kuonea wengine...Mgombea Urais huyu alitutangazia kifo cha Rais wetu mpendwa tena mpaka ugonjwa uliomuua ilihali dola ilikuwa bado haijaamua kutuambia....
Wasiojua protocal, anapokufa Rais wa nchi huwezi tu kutangaza hovyohovyo harakaharaka maana kifo ni kitu cha ghafla na kwa wakati huo lazima dola ijipange kwanza kwa kuweka mambo sawa...Rais ni kiongozi wa dola, anapokufa lazima watu waitane kwanza waweke mambo sawa na kuset utaratibu na kuinform inner circle yote juu ya mipango na utaratibu...
Mgombea Urais huyu akatutangazia Kifo cha Mlinzi wa Rais Marehemu JPM na ugonjwa wake uliomuua tena kwenye media kubwa kabisa duniani BBC, ilihali huyu mlinzi alikuwa hai na mzima wa Afya kabisa..
Tunaweza kumuamini mtu kama huyu, eti tumpigie kura na kumpa dola...?
Si Bora zaidi anayetukana kuliko anayeua kabisa au kusingizia wenzake kesi kubwa kubwa ili wafungwe kabisa?Ukiona mtu anatusi mwingine ujue kaishiwa hoja
And that is why you will never achieve anything by trash talking others
Wise up, help your leaders to wise up and make progress
Mtaishia kutukana tu kila anayewapa ukweli hadi siku ya mwisho
Hizi sio enzi za acha kutete ujinga, yaani Rais was nchi awe mgonjwa umma usijulishwe tena usimame mbele ya madhabahu na kuaminisha umma kwamba Rais ni "mzima wa afya na anachapa kazi" ilhali ni uongo mtupu...kifo cha Rais hakitangazwi tangazwi tu hovyohovyo....hutangazwa pale tu itakapoamuliwa kutangazwa...tujifunze kujua dola inafanyaje kazi...Yule mtu wenu hata mambo madogo tu kama haya hayajuia mnataka apewe dola...mjifunze kwanza protocal za nchi..
Nakusaidia tu, kasome andiko la Lissu kuhusu issues za madini na uwekezaji nchini, nenda Bulyanhulu huko kawaulize wananchi wa kule namna Lissu alivyowasaidia wakati kina Mkapa na chama chake wakileta hao wawekezaji kwenye migodi hiyo,watakwambia...ndio shida ya kufanya kila jambo siasa, ule ulikuwa mfano kama tungelipwa basi hela ile ingeweza kumnunulia kila Mtanzania Noah..
Huoni leo hii Serikali ni share holder kwenye migodi ya Barrick na kuna joint company inaitwa TWIGA....huoni kule kabanga nickel nako kuna joint company inaitwa TEMBO....angalau kidogo kimepatikana baada ya watu kupigana...hii ndio maana ya Legacy...tuambie sasa huyo mgombea wako nini ameligania kwa Taifa na watanzania hata 10mil tu wakanufaika...?
Polee, kujua kuwa nani ana akili na nani hana ni akili piaAna akili ipi Lissu.
Ignorance!Anahutubia Taifa au anakihutubia Chama?
Maana Taifa linahutubiwa na Rais wa JMT na siyo kiongozi wa chama cha siasa
Mbona zamani tu. We hulijui hilo kwamba #dishlimetilt ?Lissu anachanganyikiwa nini?
Ebu fafanueni tuelewe. Anahutubia Taifa lipi, la Tanzania au Ubelgiji!?Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
View attachment 2062266
Hata Masanja anahutubiaga; Kama hutaki msikiliza mfuatiliye mkeo kuna njemba yupo naye!
Ni heri nimsikilize Lissu mtu mwenye akili timamu kuliko yule mwehu ambaye kauli yake ya mwisho kabla hajakata roho ni[emoji116]
"Kaa na mavi yako nyumbani"
Mgombea Urais huyu alitutangazia kifo cha Rais wetu mpendwa tena mpaka ugonjwa uliomuua ilihali dola ilikuwa bado haijaamua kutuambia....
Wasiojua protocal, anapokufa Rais wa nchi huwezi tu kutangaza hovyohovyo harakaharaka maana kifo ni kitu cha ghafla na kwa wakati huo lazima dola ijipange kwanza kwa kuweka mambo sawa...Rais ni kiongozi wa dola, anapokufa lazima watu waitane kwanza waweke mambo sawa na kuset utaratibu na kuinform inner circle yote juu ya mipango na utaratibu...
Mgombea Urais huyu akatutangazia Kifo cha Mlinzi wa Rais Marehemu JPM na ugonjwa wake uliomuua tena kwenye media kubwa kabisa duniani BBC, ilihali huyu mlinzi alikuwa hai na mzima wa Afya kabisa..
Tunaweza kumuamini mtu kama huyu, eti tumpigie kura na kumpa dola...?
wewe njemba yako ni lissu??
Walikuwa wanaogopa kuwa tutaanza kusheherekea mapema.Hizi sio enzi za acha kutete ujinga, yaani Rais was nchi awe mgonjwa umma usijulishwe tena usimame mbele ya madhabahu na kuaminisha umma kwamba Rais ni "mzima wa afya na anachapa kazi" ilhali ni uongo mtupu...
Kwani ikitolewa taarifa kwamba anaumwa tumuombeeni Kuna mapungufu gani?
Haya ulisema ni mzima wa afya, afu siku mbili baadaye inasemwa kwamba AMEKUFA ndiyo protocol hiyo?? Upuuzi tu