Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

sasa utazururaje na mavi!!!!jifunze kuwa unakunya kabla hujaanza kuzurula sandali.

nyinyi ndio mnaosafiri na mahindi mnakula njia nzima.
Yule mzee alikuwa mwehu, hilo halihitaji uthibitisho wa cheti Cha daktari.
Bahati nzuri nilianza kazi wizara ya ujenzi 2015 wakati anakaribia kuwa Rais, I know him
 
Lissu tunamjua ni mtanzania aliyesaliti upinzani kipindi cha matokeo ya kura leo hii anataka kuhutubia taifa kama nani?
Screenshot_2021-12-31-06-30-33.jpg
 
Afadhali tusikie mambo muhimu yaliyotuumiza na yanayoendelea kutuumiza watanzania na mapendekezo ya suluhu zake kuliko hii mipasho na mafumbo ya taarabu tunayoisikia kila kukicha kutoka kwa viongozi top kabisa wa nchi hii.
 
Si Bora zaidi anayetukana kuliko anayeua kabisa au kusingizia wenzake kesi kubwa kubwa ili wafungwe kabisa?
Check nilikua majibu nini

Na sikua nalinganisha majibu ya huku na magu or any leader anayehusishwa na mauaji

Grow up
 
Yule mzee alikuwa mwehu, hilo halihitaji uthibitisho wa cheti Cha daktari.
Bahati nzuri nilianza kazi wizara ya ujenzi 2015 wakati anakaribia kuwa Rais, I know him
Hata mimi nakubali alikuwa mwehu kwa watumishi wazembe, majizi, mafisadi na majinga kama wewe!
 
Ndugu lissu tunahamu Sana kuisikia hotuba yako usiku wa leo.lakini zingatia haya machache tu kabla hujaanza hotuba yako. (1)toa hotuba Kama rais wa nchi isiwe na matabaka Wala hasira ya Mambo yaliyopita. (2)Kama utalizungumzia swala liongelee kidipromasia na kiutu uzima najua umenielewa(.3)anza wewe Leo kutoa hotuba ya kistaarabu tofauti na tulivyokuzoea.chunga kutamka maneno yanayokashifu na kudharau utawala na mamlaka iliyopo .onesha ukomavu na utu uzima Leo tunataka kuisikia hotuba ya makamu mwenyekiti wa chama sio mgombea happy new year,
 
Mpaka muda huu hotuba ilishaandaliwa siku nyingi sana so nitazungumza kile tulichodhamiria kuwaambia Watanzania. Usinipangie.
 
Hawezi kubadilika huyo jamaa na siasa zake za uchonganishi chonganishi tu.
 
Ndugu lissu tunahamu Sana kuisikia hotuba yako usiku wa leo.lakini zingatia haya machache tu kabla hujaanza hotuba yako. (1)toa hotuba Kama rais wa nchi isiwe na matabaka Wala hasira ya Mambo yaliyopita. (2)Kama utalizungumzia swala liongelee kidipromasia na kiutu uzima najua umenielewa(.3)anza wewe Leo kutoa hotuba ya kistaarabu tofauti na tulivyokuzoea.chunga kutamka maneno yanayokashifu na kudharau utawala na mamlaka iliyopo .onesha ukomavu na utu uzima Leo tunataka kuisikia hotuba ya makamu mwenyekiti wa chama sio mgombea happy new year,
Mbona mnaanza kujihami? Acha inyeshe ya mawe matundu yote tuyaone.
 
Back
Top Bottom