Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

Kulihutubia Taifa? Ana Taifa gani? Chadema wanaongoza Taifa gani ugaibuni?
 
Hapo Hotuba yake nzima itakuhusu:

  • Mbowe
  • Katiba mpya
  • Tume huru ya uchaguzi
  • Kuhusu yeye mwenyewe

Wakati mahitaji ya Wananchi ni:

  • Gharama za maisha
  • Ajira
  • Umeme
  • Maji
  • Usalama.

Hawa watu ndio maana hakuna mwenye akili timamu huwa anawatilia maanani kabisa.
Hayo mahitaji unayoyaita ya wananchi mbona ccm wamegaragara nayo miaka 60 hayatimii. Inzi wa kijani wewe, chawa mkubwa. Majitu yenu yaliyofyatuka vichwa kama ndugai wanakurupuka hapa na kauli tata ndio unaona wanaongea ya maana?
 
Nje ya mada; hivi masikio ya mh. Ndiyo yalivyo kwa sasa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wanajadili hotuba za bavicha wewe unajadili masikio[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi huyu bwana anatoa wapi moral authority ya kusema analihutubia taifa? Taifa gani linalohutubiwa na huyu bwana,ubeligiji, Tanzania au Kenya maana kwa Mara ya mwisho alikuja akaishia Kenya?

Hivi taifa linaweza hutubiwa na yeyote? Hata Mimi mwalimu niliyeko huku mpigamiti - Liwale naweza toa alert kuwa Leo watu wawe makini kunisikiliza kwani nitahutubia taifa!?

Serikali iwe makini na huyu mtu,hafai kabisa,anapenda kujipa mamlaka ambayo si ya kwakwe.

By the way Mr Robert Amsterdam hajambo huko ubeligiji?
Wewe ndo huwezi kulihutubia taifa. Lissu ana uwezo huo na watu tupo tayar kumsikiliza. We are waiting. Wewe cku hiyo kufa ili usisikie. Maana ukiwa hai lazima ujue alichosema hata kama hutaki.
 
Hivi huyu bwana anatoa wapi moral authority ya kusema analihutubia taifa? Taifa gani linalohutubiwa na huyu bwana,ubeligiji, Tanzania au Kenya maana kwa Mara ya mwisho alikuja akaishia Kenya?

Hivi taifa linaweza hutubiwa na yeyote? Hata Mimi mwalimu niliyeko huku mpigamiti - Liwale naweza toa alert kuwa Leo watu wawe makini kunisikiliza kwani nitahutubia taifa!?

Serikali iwe makini na huyu mtu,hafai kabisa,anapenda kujipa mamlaka ambayo si ya kwakwe.

By the way Mr Robert Amsterdam hajambo huko ubeligiji?
Ivi Waalimu mmesha acha kubweka bweka Kama mbweha?? Vimishahara vyenu kiduchu, sijui vidude gani.
 
Hivi huyu bwana anatoa wapi moral authority ya kusema analihutubia taifa? Taifa gani linalohutubiwa na huyu bwana,ubeligiji, Tanzania au Kenya maana kwa Mara ya mwisho alikuja akaishia Kenya?

Hivi taifa linaweza hutubiwa na yeyote? Hata Mimi mwalimu niliyeko huku mpigamiti - Liwale naweza toa alert kuwa Leo watu wawe makini kunisikiliza kwani nitahutubia taifa!?

Serikali iwe makini na huyu mtu,hafai kabisa,anapenda kujipa mamlaka ambayo si ya kwakwe.

By the way Mr Robert Amsterdam hajambo huko ubeligiji?
Hahahaa...Taifa la wapumliwa visogoni.
 
Back
Top Bottom