Mgombea Urais huyu alitutangazia kifo cha Rais wetu mpendwa tena mpaka ugonjwa uliomuua ilihali dola ilikuwa bado haijaamua kutuambia....
Wasiojua protocal, anapokufa Rais wa nchi huwezi tu kutangaza hovyohovyo harakaharaka maana kifo ni kitu cha ghafla na kwa wakati huo lazima dola ijipange kwanza kwa kuweka mambo sawa...Rais ni kiongozi wa dola, anapokufa lazima watu waitane kwanza waweke mambo sawa na kuset utaratibu na kuinform inner circle yote juu ya mipango na utaratibu...
Mgombea Urais huyu akatutangazia Kifo cha Mlinzi wa Rais Marehemu JPM na ugonjwa wake uliomuua tena kwenye media kubwa kabisa duniani BBC, ilihali huyu mlinzi alikuwa hai na mzima wa Afya kabisa..
Tunaweza kumuamini mtu kama huyu, eti tumpigie kura na kumpa dola...?