Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

Wanakaribia kufika japo wako moto saana
 
Rais ajaye mwaka 2035 labda!!!!!!!
Mama tuna mpa 10 baada ya kumaliza hii ya Mwendazake 5
 
Nimeshajiandaa kusikiliza hotuba ya lisu. Hotuba itakayotoa mwelekeo mbadala wa taifa. Kwani shingap kuilipia hotuba make itakua madini tupu
 
Mna hamu nae nyie huko UFIPA.

Usitujumlishe kama SAMAKI.
 
Huyo hanganya labda aongee na nyie hapo Lumumba sisi hatuna muda nae. Serikali ya kinyonyaji kama hii ya nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…