Nipo!.
Mimi nasisitiza uzalendo Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
P
Hebu fikiria kidogo kabla hujafanya conclusion. Lissu huyu mliyempiga risasi as if mnaua anaconda ndiye atetetee upuuzi wenu! What if angekufa Kama lilivyokuwa lengo lenu, mngemfufua akatetee mikataba yenu mliyoingia kifedhuli? Acheni uchawa wa kipumbavu, walosaini mikataba hiyo wapo na wanakula mema ya nchi! Hangaikeni nao Kama kweli mna uthubutu!Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
Kama ni kweli Lissu huwa anafurahia sana maswala ya ndege zetu kushikwa nje.
Why is he doing that? Ana maslahi
Gani na hao wanaozikamata?
Angekua raisi by now na ndege zinakamatwa angekua anachekelea hivi?
Sio kuwafilisi tu, kuwanyonga hadharani ili iwe fundisho kwa wengine. Bila sheria kali na mifumo imara huu upuuzi utaendelea.Kama wewe na wenzako mngekuwa na uchungu, msingeendelea kufanya maamuzi ya hovyo! Halafu mwisho wa siku mnakuja kuwaumiza walipa kodi.
I wish kungekuwa na sheria ya kuwafilisi wale vilaza wote mnnao liingizia Taifa hasara za kipuuzi kama hizi.
Hakuna anayefurahia bali wanachekwa wale wanaojifanya wajanja wakati kabla ya ajali walionywa wakajifanya wajuaji.Kwani nani amemlaumu? Kwanini usiende kwenye swali nililouliza. Kwanini tundu anafurahia sana shida za nchi hii! Does that make him eligible to be thé president? For instance angepewa uraisi akakuta kuna madeni yanayotaifisha ndege angeendelea kuchekelea?
Mnakuwaga very irrational. Jibu swali toa mihemko
There you areLissu anawacheka maana mnadharau huku hamjui kitu. Ni aibu ndege kushikiliwa kisa serikali kufanya maamuzi ya kijinga.
Alitafuta namna wakamtwanga risasi kiongozi wampoteze kabisaHiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
Wakati wanakula pesa za mwekezaji huwa hawasikilizi ushauri wa mtu yeyote. Tena ukiwashauri wana ku- label wewe sio mzalendoKama wewe na wenzako mngekuwa na uchungu, msingeendelea kufanya maamuzi ya hovyo! Halafu mwisho wa siku mnakuja kuwaumiza walipa kodi.
I wish kungekuwa na sheria ya kuwafilisi wale vilaza wote mnnao liingizia Taifa hasara za kipuuzi kama hizi.
Kampuni mpya ni ua fisi mwenzenu Rost tam.Kwa Hiyo!
Ndege yetu inatelekezwa ili kampuni MPYA ya wajanja ifanye kazi sio!?
Tunasubiri kama itatelekezwa!
Lissu anawacheka maana mnadharau huku hamjui kitu. Ni aibu ndege kushikiliwa kisa serikali kufanya maamuzi ya kijinga.
Sasa we are already under thé government. Unataka ukailipue serikali na mabomu kwa makosa yaliyopita?Kuota unaota wewe. Halafu tofautisha ujinga wa serikali ya CCM na Tanzania Kama taifa. Tofautisha government and state.
Mimi ndo nilimfukuza? And by the way unaongea vitu ambavyo huna uhakika navyo. Mimi sio mbunge ni kapuku tu mwananchi mpiga kura. Lissu anashindana na wapiga kura si ndio? Idiot ni aliekupeleka shule hujui kuchambua la kusema utashi umeukalia unaulia maandazi. Mimi nifurahie Lissu kupigwa risasi ananisaidia nini? Nashea nae kitanda? Any human wouldn’t be happy about someone else’s disaster ila yeye anafurahia anguko la watanzania kwasababu alipigwa risasi na watu ambao wapiga kura hawahusiki nao?You are an idiot. Unauliza kwa Nini Lissu anafurahia madhira ya nchi na Mimi nimekujibu mbona na nyie mlifurahia alipopata madhira tena mkamfukuza na ubunge bila hata matibabu.
Watukumbuke tu kuturudishia change kama wataona inawapendezaTundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia.
Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa.
Vilaza Tena??Tanzakiza ni [emoji116]View attachment 2432992
Pumbafu. Mikataba mnasainia ikulu tena kwenye gizi hata bunge halijui halafu yakitokea ya kutokea mnataka alaumiwe Lissu. Tz mijitu mijinga inaonvezeka kila sikuHiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
kalipeni pesa za watu acheni kupiga kelele, lisu lisu, kwani lisu ndio kashika ndege, si maamuzi yenu mabovu ndio yanalighalimu taifa lisu kazi yake ni kuwaamsha mliolala alafu mnambeza.Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.
Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena