Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
Hebu fikiria kidogo kabla hujafanya conclusion. Lissu huyu mliyempiga risasi as if mnaua anaconda ndiye atetetee upuuzi wenu! What if angekufa Kama lilivyokuwa lengo lenu, mngemfufua akatetee mikataba yenu mliyoingia kifedhuli? Acheni uchawa wa kipumbavu, walosaini mikataba hiyo wapo na wanakula mema ya nchi! Hangaikeni nao Kama kweli mna uthubutu!
Waambie wenzako hivi, badala ya kuchora mabango ya kumpongeza dokta mpya mjini andamaneni kushinikiza achukue hatua kwa aliowaamuru wake kwa urefu was kamba zao Kama kweli Ana jeuri hiyo!
 
Kama ni kweli Lissu huwa anafurahia sana maswala ya ndege zetu kushikwa nje.

Why is he doing that? Ana maslahi
Gani na hao wanaozikamata?

Angekua raisi by now na ndege zinakamatwa angekua anachekelea hivi?

Lissu anawacheka maana mnadharau huku hamjui kitu. Ni aibu ndege kushikiliwa kisa serikali kufanya maamuzi ya kijinga.
 
Kama wewe na wenzako mngekuwa na uchungu, msingeendelea kufanya maamuzi ya hovyo! Halafu mwisho wa siku mnakuja kuwaumiza walipa kodi.

I wish kungekuwa na sheria ya kuwafilisi wale vilaza wote mnnao liingizia Taifa hasara za kipuuzi kama hizi.
Sio kuwafilisi tu, kuwanyonga hadharani ili iwe fundisho kwa wengine. Bila sheria kali na mifumo imara huu upuuzi utaendelea.
 
Kwani nani amemlaumu? Kwanini usiende kwenye swali nililouliza. Kwanini tundu anafurahia sana shida za nchi hii! Does that make him eligible to be thé president? For instance angepewa uraisi akakuta kuna madeni yanayotaifisha ndege angeendelea kuchekelea?

Mnakuwaga very irrational. Jibu swali toa mihemko
Hakuna anayefurahia bali wanachekwa wale wanaojifanya wajanja wakati kabla ya ajali walionywa wakajifanya wajuaji.
 
Kama wewe na wenzako mngekuwa na uchungu, msingeendelea kufanya maamuzi ya hovyo! Halafu mwisho wa siku mnakuja kuwaumiza walipa kodi.

I wish kungekuwa na sheria ya kuwafilisi wale vilaza wote mnnao liingizia Taifa hasara za kipuuzi kama hizi.
Wakati wanakula pesa za mwekezaji huwa hawasikilizi ushauri wa mtu yeyote. Tena ukiwashauri wana ku- label wewe sio mzalendo
 
Tumpeleke mhe Kabudi nguli wa Sheria na negotiation akawagalagaze. Macho ya bluu hayamtishi toka anasoma nao mziki wake wanaujua.
 
Lissu ni mbelgiji? So anapoenda kuicheka Tanzania akiwa kwenye nchi za watu anamfurahisha nani? Acha nicheke tu maana namhurumia. Anadhani anamkomoa mtu. Tanzania will always be Tanzania na ndoto zake za kuja kushika dola zitaendelea kuwa za abunuasi.

Sijawahi ona mtanzania anafurahia matatizo ya taifa lake no matter how much anger you have on the leaders. So ye anaamini angekua kiongozi angefanya 💯 perfection?

Endeleeni kumpa kichwa
Lissu anawacheka maana mnadharau huku hamjui kitu. Ni aibu ndege kushikiliwa kisa serikali kufanya maamuzi ya kijinga.
 
Kuota unaota wewe. Halafu tofautisha ujinga wa serikali ya CCM na Tanzania Kama taifa. Tofautisha government and state.
Sasa we are already under thé government. Unataka ukailipue serikali na mabomu kwa makosa yaliyopita?

Wewe kama mwananchi unalifanyia nini taifa lako ili tukae kwenye mstari. Je unadhani kulifedhehesha ukiwa nje ya nchi ndo linakufanya uonekane smart?

Mzungu anaelewa hii ni CCM au nani? Kule tunaonekana wote Watanzania. Ila kwa akili zako huwezi elewa. How pathetic
 
Tanzakiza ni [emoji116]
20221105_131344.jpg
 
You are an idiot. Unauliza kwa Nini Lissu anafurahia madhira ya nchi na Mimi nimekujibu mbona na nyie mlifurahia alipopata madhira tena mkamfukuza na ubunge bila hata matibabu.
Mimi ndo nilimfukuza? And by the way unaongea vitu ambavyo huna uhakika navyo. Mimi sio mbunge ni kapuku tu mwananchi mpiga kura. Lissu anashindana na wapiga kura si ndio? Idiot ni aliekupeleka shule hujui kuchambua la kusema utashi umeukalia unaulia maandazi. Mimi nifurahie Lissu kupigwa risasi ananisaidia nini? Nashea nae kitanda? Any human wouldn’t be happy about someone else’s disaster ila yeye anafurahia anguko la watanzania kwasababu alipigwa risasi na watu ambao wapiga kura hawahusiki nao?

Hujioni kama ni punguani?
 
Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia.

Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa.
Watukumbuke tu kuturudishia change kama wataona inawapendeza
 
Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
Pumbafu. Mikataba mnasainia ikulu tena kwenye gizi hata bunge halijui halafu yakitokea ya kutokea mnataka alaumiwe Lissu. Tz mijitu mijinga inaonvezeka kila siku
 
Shamba walinyangaywa na Magufuli akapewa Bakhreesa kwa nini asilipe Bakhreesa wanatesa Watanzania maskini.Kesi ilitangazwa Tanzania wakawa wabishi hawakwenda mahakamani wakawekewa wakili na hiyo mahakama ikasikilizwa wakashindwa inabidi walipe
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.


Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
kalipeni pesa za watu acheni kupiga kelele, lisu lisu, kwani lisu ndio kashika ndege, si maamuzi yenu mabovu ndio yanalighalimu taifa lisu kazi yake ni kuwaamsha mliolala alafu mnambeza.
 
Back
Top Bottom