Pre GE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kinana ameshapitwa na wakati, wameiba vya kutosha angejipumzikia zake tu anatafuta aibu za uzee.

Yule Tundu Lisu kama kama hakuweza kumstahi Magufuli huyu Kinana anatafuta kudhalilishwa tu.
kwa nondo zile unamdhalilisha au unajidhalilisha 🐒

The Muzee kapiga slow but sure. Left Right and center 🐒
 
Badala ya kumshukuru mtoa hoja na kushughulikia hoja wapo tu kupambana. Haya mambo yalikuwepo sana enzi ya JK yakasababisha kampeni za ccm zikawa ngumu sana. Yaani hawa jamaa hanawaga lessons learnt?
 
Makamu Mwenyekiti CCM Kinana amekuja front kumjibu Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh. Lisu. Hakika hii imekaa vizuri.

Sasa Mwenyekiti wa CHADEMA akiongea itabidi ajibiwe na Mwenyekiti wa CCM....

Mambo ni bampa to bampa....kwako

johnthebaptist
The struggle is hot
 
Serikali Na Chama Dollar Wametikiswa Vibaya Mno
Kuanzia Jumatatu Serikali Yote Itaanza Kujibu Hoja Ingawa Ukweli Wa Lissu Umenyooka Kama Rula
Lissu ni mbabe wa siasa
 
Hilo Lissu atawasamre nchi itayumba
 
05 May 2024
Dodoma, Tanzania

Kinana: CCM Tumekubali Katiba Tunachobishana ni Lini. Wanataka Rais Asiwe na Kauli Kwenye Tume

View: https://m.youtube.com/watch?v=fPJEB-eVAxwLeo Mei 5,2024, Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzani ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano.
 
Huyu jamaa ni shida..... Ameshindikana. Kila mtu amejaribu lakini kashinwa. Fatma kanyamaza kabisa baada ya kujibiwa na Lissu. Kimefanyika kikao kujadili hoja zake wakaamua kumtuma Kinana. Naye amepuyanga tu. Lissu hawezekaniki.

Lini tena atahutubia? Sasa sitaki kosa msikia.
Your browser is not able to display this video.
 
Kauli za Kinyonge sana sio tena ile ccm ya kibabe.
 
Hoja za Lissu zinahitaji utulivu sana kuzijibu. Hata hivyo Kinana amejitahidi ingawa kuna maeneo jibu pekee la hoja za Lissu ni Serikali 1 na Katiba Mpya. Otherwise hakuna anayeweza kuzijibu hata telete Malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…